Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

Aliwai kucheza epl.kabla ya kuja kuwa mzigo pale Yanga alikua mtunza store huko uingereza baada ya kushindwa soka.
 
Genta nakuaminia, ila unapoanza kucopy na paste pumba na ushuzi wa huyo Jemedari Said umenifikirisha sana. Huyo Kazumari ni mjinga na mpumbavu wahedi mkubwa tu.
 

Huyu ni pacha wake [emoji14]
 
Nakazia
 
Hi kwani lazima kuongea. Ona aibu uliyoipata sasa bora ungekaa kimya. Unasababisha wote waliyopitia SAUT wadharaulike kwa kukurupuka kwako.
Kusoma Kwangu SAUT Mwanza na Uwasilishaji wangu wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums vinahusiana vipi? Huna Aklli Wewe...!!!!!
 
Kujifanya kupost uzi mara kwa mara bila utafiti ni mapungufu makubwa sana, unaweza pia ukakaa kimya bila kuleta taarifa humu na ikawa sawa tu.
Rubbish and Nonsensical.
 
Uko sahihi Mkuu tena 100% yaani TISS wawe na Mtu nisiye na mbele wala nyuma Mimi GENTAMYCINE? Nashangaa wanakuacha Wewe mwana TISS wananihisi Masikini Mmoja Mimi.
Ha haha haaaaaaa haaaaaaaaaaa....
 
Unaweza ukakuta kuna watu wanamuita huyu jamaa baba
 
Huyu jamaa kacheza newcastle ile miaka ya mwisho ya mzee fergason man utd. Nilimjua kabla injinia, gsm wala hajaja yanga . namkumbuka kabisa. Wewe utakua umeanza kufatilia mpira hizi zama za mbappe na halaand
 
Nakubaliana na wewe kuwa wakati anakuja Yanga hakuwa anacheza EPL. Alichezea Newcastle United kwa mkataba wa miaka mitano lakini alitumikia miaka minne tu 2012-2016 wakaamua kumtoa mkopo baada ya kiwango kutoridhisha. Katika miaka minne hiyo alifunga goli moja tu; muda wote mwingine amekuwa anacheza ligi ya Scotland na EFL.
 
Asee kama mchambuzi wa soka ambaye ameajiriwa kabisa kufanya hiyo kazi amesema hivyo basi itoshe kusema tuna safari ndefu sana kama taifa mpaka kuyafikia maendeleo[emoji119]
Tatizo letu wenye uwezo ni waoga na mazero brain ndo wana wana confidence.. ndio maana tunapata watu wa aina ya uyo jemedari said.. na iyo sio kwenye uchambuzi wa soka tu hata kwenye uongozi na mengine mengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…