Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Da nimecheka kinyama....
Kumbe hii siku ndo ndugu zetu Makolo walibatizwa Jina la MBUMBUMBU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da nimecheka kinyama....
Aliowasema Rage ni hao waliohudhuria huo mkutano, bahati siku hiyo mimi sikuwepo huko!..
Khaaaaaah mshaanza kupanick, ni mgonjwa haruhusiwi kucheza.Kheri wewe usie ugua
Genta nakuaminia, ila unapoanza kucopy na paste pumba na ushuzi wa huyo Jemedari Said umenifikirisha sana. Huyo Kazumari ni mjinga na mpumbavu wahedi mkubwa tu.Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.
Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.
Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?
Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.
Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Hana lolote huyo.TISS!!!!!!
Jamaa unachojua ni simba tu upo mweupe sana kwenye michezo anga za kimataifa,kinachokubeba humu jukwaani ni porojo na kuropoka pamoja na uongo ambao unadhabikiwa sana na jamii kubwa ya watanzania thus why unajikuta kuna watu wanakushabikia kumbe ni sample za wale watanzania wapenda majungu,porojo na umbeaView attachment 2492375
NakaziaJamaa unachojua ni simba tu upo mweupe sana kwenye michezo anga za kimataifa,kinachokubeba humu jukwaani ni porojo na kuropoka pamoja na uongo ambao unadhabikiwa sana na jamii kubwa ya watanzania thus why unajikuta kuna watu wanakushabikia kumbe ni sample za wale watanzania wapenda majungu,porojo na umbeaView attachment 2492375
Uko sahihi Mkuu tena 100% yaani TISS wawe na Mtu nisiye na mbele wala nyuma Mimi GENTAMYCINE? Nashangaa wanakuacha Wewe mwana TISS wananihisi Masikini Mmoja Mimi.Hana lolote huyo.
Kusoma Kwangu SAUT Mwanza na Uwasilishaji wangu wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums vinahusiana vipi? Huna Aklli Wewe...!!!!!Hi kwani lazima kuongea. Ona aibu uliyoipata sasa bora ungekaa kimya. Unasababisha wote waliyopitia SAUT wadharaulike kwa kukurupuka kwako.
Rubbish and Nonsensical.Kujifanya kupost uzi mara kwa mara bila utafiti ni mapungufu makubwa sana, unaweza pia ukakaa kimya bila kuleta taarifa humu na ikawa sawa tu.
Kuna uzi eti katuambia anaongea Kitutsi😀mzee tangu uzaliwe umeshawahi kusikia kuna lugha inaitwa kitutsi!? Nilivyoona ule uzi nikabaki kucheka tu na kukumbuka wewe GENTAMYCINENakazia
NakaziaMumpuuze mleta mada ana chronic schizophrenia yaani hiii inahitajika palliative care tu no way maana psychotic drug zote zimedunda
Ha haha haaaaaaa haaaaaaaaaaa....Uko sahihi Mkuu tena 100% yaani TISS wawe na Mtu nisiye na mbele wala nyuma Mimi GENTAMYCINE? Nashangaa wanakuacha Wewe mwana TISS wananihisi Masikini Mmoja Mimi.
Unaweza ukakuta kuna watu wanamuita huyu jamaa babaNa Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.
Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.
Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?
Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.
Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Huyu jamaa kacheza newcastle ile miaka ya mwisho ya mzee fergason man utd. Nilimjua kabla injinia, gsm wala hajaja yanga . namkumbuka kabisa. Wewe utakua umeanza kufatilia mpira hizi zama za mbappe na halaandNa Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.
Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.
Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?
Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.
Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Nakubaliana na wewe kuwa wakati anakuja Yanga hakuwa anacheza EPL. Alichezea Newcastle United kwa mkataba wa miaka mitano lakini alitumikia miaka minne tu 2012-2016 wakaamua kumtoa mkopo baada ya kiwango kutoridhisha. Katika miaka minne hiyo alifunga goli moja tu; muda wote mwingine amekuwa anacheza ligi ya Scotland na EFL.Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.
Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.
Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.
Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?
Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.
Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Tatizo letu wenye uwezo ni waoga na mazero brain ndo wana wana confidence.. ndio maana tunapata watu wa aina ya uyo jemedari said.. na iyo sio kwenye uchambuzi wa soka tu hata kwenye uongozi na mengine mengi tuAsee kama mchambuzi wa soka ambaye ameajiriwa kabisa kufanya hiyo kazi amesema hivyo basi itoshe kusema tuna safari ndefu sana kama taifa mpaka kuyafikia maendeleo[emoji119]