Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

Jemedari Said wa EFM: Gael Bigirimana hakuwahi Kucheza Ligi Kuu ya Uingereza, wana Yanga SC walidanganywa pakubwa

Na Mimi GENTAMYCINE nasema kama kuna mwana Yanga SC hapa mwenye Picha za Gael Bigirimana akiupiga mwingi Ligi Kuu ya Uingereza tena akiwa Timu ya Newcastle United FC kama tulivyoaminishwa tafadhali aniwekee hapa ili nijiridhishe.

Nimejaribu Kuulizia kwa Rafiki na Ndugu zangu baadhi waishiyo nchini Uingereza ( tena wote sasa wana miaka 20 hadi 25 ) wako huko na ni Watu wa Mpira sana kama nilivyo GENTAMYCINE wameniambia kuwa Newcastle United FC hawajawahi kuwa na Mchezaji Raia wa Burundi aitwae Gael Bigirimana labda ile Newcastle United FC ya Wachuuzi na Madereva wa Teksi ambao huwa na Timu yao na huvalia Jezi za Newcastle United FC ya Premier League.

Baada ya kulijua hili sasa GENTAMYCINE naungana na Kauli ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara kuwa Yanga SC nzima ( aliko sasa nae akiwemo ) wenye Akili ( aliisema hata katika Interview na Sports Headquarters ya EFM ) ni Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi tu Mzee Manara na waliobakia wote ( nae akiwemo ) hawana kabisa Akili.

Yaani Mchezaji wa Premier League ya Uingereza tena akiichezea Klabu ya Waingereza Asilia ya Newcastle United FC aje Kukaa Benchi NBC Premier League ya Tanzania huku akizidiwa Kiuwezo na hata na Zawadi Mauya au na Aboubakary Salum Sure Boy?

Wana Yanga SC mliokotwa kweli kweli na Uongozi wenu ( akina Injinia Hersi Said Rais wenu ) juu ya huyu Mbeba Maboksi Uingereza Gael Bigirimana ambaye sasa ni rasmi kuwa ndiye Mchezaji pekee wa Kigeni aliyepunguzwa ili kubakia na idadi ya Wachezaji 12 wa Kigeni wanaotakiwa Kikanuni na Kisheria pia.

Haya nasubiri sasa Mapovu yenu Ok?
Pumba kaandika mtoa mada ila aibu naona mimi.

Nje ya mada: hivi Mtoa mada huwaga ni me au ke?
 
Basi sawa.
Kocha wa simba aelekea Brazil kuhani msiba wa Pele ambaye alikua ni mtu wake wa karibu sana yani family friend kabisa yani.
 
Waliokuzaa hawana Pumba nyingi?
Hivi hujistukii jf yote kila mtu ana kupinga KWA sababu unaandika.pumba kwann usibadilike uanze kuandika vitu vyenye kueleweka watu wanao kupinga humu they are not personal wanapinga uharo unao andika
 
Hi kwani lazima kuongea. Ona aibu uliyoipata sasa bora ungekaa kimya. Unasababisha wote waliyopitia SAUT wadharaulike kwa kukurupuka kwako.
🤣🤣🤣🤣 kaka madogo wa sauti siku zote much know🤣🤣🤣🤣Sijui wangesoma vyuo vyetu tulivyopitia ingekuaje
 
Hivi hujistukii jf yote kila mtu ana kupinga KWA sababu unaandika.pumba kwann usibadilike uanze kuandika vitu vyenye kueleweka watu wanao kupinga humu they are not personal wanapinga uharo unao andika
Sasa kama kumbe umeshajua kuwa naandika Pumba Nyege zako Mshindo zote hizi Kwangu GENTAMYCINE zinatoka wapi?

Ningekuwa sina la maana Kwako / Kwenu Matahaaira na Majuha kama nyie ( Wewe ) ukiwa Kinara wao ungekuwa Unanisoma 24/7 hapa JamiiForums?
 
🤣🤣🤣🤣 kaka madogo wa sauti siku zote much know🤣🤣🤣🤣Sijui wangesoma vyuo vyetu tulivyopitia ingekuaje
Sasa kama huna / hauna Akili ni Taahira na Juha kama ulivyo utawezaje kuwa Much Know ( Mjuaji ) kama Mimi GENTAMYCINE?
 
Back
Top Bottom