ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Maandishi nguli wa habari za michezo Jemedari Saidi amehoji ukimya na unafiki wa BAKWATA huku Quran ikitumika vibaya bila kuzingatia maadili na maamrisho ya uislam
Tuliwambia kazi ya BAKWATA ni uchawa na kuutangaza mwandamo wa mwezi
1. Wameonekana wanawake wakishika kitabu hicho bila kujitoharisha lakini BAKWATA Kwa unafiki wao wakaamua kukaa kimya
2. Wanawake wameshika Quran wakiwa bila hijab
3 wanawake wameshika Quran kuapa huku matiti yakioneka wazi hii hairuhusiwa katika uislam
4. Kushika Qur'an I kwenye mazingira ya mizaha. Hii hairuhusiwi katika uislam
5. Kuweka Quran sehemu isiyo ya heshima.
Tumeshuhudia Quran tukufu ikiwekwa ovyo huko bungeni na BAKWATA hawajakemea
6. Nimeshangaa baadhi ya wabunge walioapa kushika Qur'an Kwa mkono wa kushoto.
Ambayo hii inaondoa Sunnah za uislam