Jemedari Saidi ahoji ukimya wa BAKWATA wakati Quran ikibagazwa bungeni hadharani

Jemedari Saidi ahoji ukimya wa BAKWATA wakati Quran ikibagazwa bungeni hadharani

Hicho kitabu hakina utakatifu wowote ndio maana kinashikwa na wanawake hao watakavyo bila kufuata maadili ya dini hiyo. Hao wanawake hawana imani ya dini hiyo ingawa wanajinasibu nayo
 
Mi si muislam, kuna maeneo ya misikiti waislam huwa wananipa kazi niwafanyie kunukuu maandishi ya quran. Wenyewe huwa wananipa script walizonukuu kutoka kwenye kitabu hicho, wanakosea sana miundo ya herufi hizo. Nikiwaomba wanipe kitabu hicho ninakili mwenyewe kwa usahihi sipewi wala sioneshwi walikoyatoa maandishi hayo. Wanaamini kile kitabu ni kitukufu na hakipaswi kushikwashikwa kiholela na mtu asiye mahasusi kukishika
 
Maandishi nguli wa habari za michezo Jemedari Saidi amehoji ukimya na unafiki wa BAKWATA huku Quran ikitumika vibaya bila kuzingatia maadili na maamrisho ya uislam

Tuliwambia kazi ya BAKWATA ni uchawa na kuutangaza mwandamo wa mwezi

1. Wameonekana wanawake wakishika kitabu hicho bila kujitoharisha lakini BAKWATA Kwa unafiki wao wakaamua kukaa kimya

2. Wanawake wameshika Quran wakiwa bila hijab

3 wanawake wameshika Quran kuapa huku matiti yakioneka wazi hii hairuhusiwa katika uislam

4. Kushika Qur'an I kwenye mazingira ya mizaha. Hii hairuhusiwi katika uislam

5. Kuweka Quran sehemu isiyo ya heshima.
Tumeshuhudia Quran tukufu ikiwekwa ovyo huko bungeni na BAKWATA hawajakemea

6. Nimeshangaa baadhi ya wabunge walioapa kushika Qur'an Kwa mkono wa kushoto.
Ambayo hii inaondoa Sunnah za uislam
View attachment 3500909
Wasted sperm
 
Maadili ya kiislam siku hizi yanapuuzwa sana. Hao wanawake kitendo cha kuwa wanasiasa na kuwa viongozi ni kosa kwa mujibu wa dini yao. Achilia mbali wanavyovaa mitindo ya mavazi yao utadhani si waislam huku wakishika kitabu chao kitukufu tena kwa mkono wa kushoto. Hawaiheshimu dini yao wanaichukulia poa.
 
Maadili ya kiislam siku hizi yanapuuzwa sana. Hao wanawake kitendo cha kuwa wanasiasa na kuwa viongozi ni kosa kwa mujibu wa dini yao. Achilia mbali wanavyovaa mitindo ya mavazi yao utadhani si waislam huku wakishika kitabu chao kitukufu tena kwa mkono wa kushoto. Hawaiheshimu dini yao wanaichukulia poa.
Umenena vyema mkuu
 
Kama ni kukemea hao BAKWATA wangeanza kukemea hapa 😭😭😭

1762184739413.png
 

Wengi ni member wa JF basi wamsikilize Sheakh na waombe msamaha kwa Kila wao.Hakika Mwenyezi Mungu ni mjuzi zaidi...{Case closed}
 
Kwanza wameingia bungeni kinyume na katiba ya nchi.
Pili hawajui hata yaliyomo ndani ya hiyo Qur'an. Asilimia kubwa ya waislamu hawajawahi kusoma Qur'an from cover to cover. Katika hiyo asilimia ndogo walioisoma, wengi hawakuelewa kilichoandikwa.
Hii ni vice versa, makafir ndo hamjui dini yenu kuliko dini zote Dunian
 
Kwanza tukisema tuufuate uislam vizuri kama inavotatikana, nchi isingeongozwa na mwanamke
Huyo jemedari Saidi ni muislam feki anayeongozwa na mwanamke muislam feki..

Hakuna muislam halisi hapa TZ yaani hata Samia mwenyewe ni muislam feki so wacha waushike Quran kikejeri kejeri
 
Huyo jemedari Saidi ni muislam feki anayeongozwa na mwanamke muislam feki..

Hakuna muislam halisi hapa TZ yaani hata Samia mwenyewe ni muislam feki so wacha waushike Quran kikejeri kejeri
Taasisi ya BAKWATA ndo hawajielewi
 
Hii ni vice versa, makafir ndo hamjui dini yenu kuliko dini zote Dunian
Oya unacholalamikiwa ni kwamba wale wameshika Qur'an wakiwa uchi shida ndio imeanzia hapo km wapo sahihi sema wapo sahihi hapo nitaamini kilichobakia sasa ni Mwanamke kupiga azana msikitini na kuendesha Mawaiza mbele ya wanaume akiwa uchi kabisa na wanaume wanapiga makofi... zile swala swala msikitini asubuhi saa 11 .....kumekucha muislamu kumekucha kitanda chako ndio kaburi lako amka muislamu uje kuswali.... swalaaaa... swalaaa.... na mawaidha yale ya saa 2 kasoro usiku mawaidha ya ijumaa jioni yataanza kusomwa na wanawake msikitini hapo si fresh au?
 
Oya unacholalamikiwa ni kwamba wale wameshika Qur'an wakiwa uchi shida ndio imeanzia hapo km wapo sahihi sema wapo sahihi hapo nitaamini kilichobakia sasa ni Mwanamke kupiga azana msikitini na kuendesha Mawaiza mbele ya wanaume akiwa uchi kabisa na wanaume wanapiga makofi
Nazani kuna sehemu hujamuelewa alichosema niliemquote, kuhusu hao malaya ni jambo la kawaida sana kwa watu dini jina sio matendo
 
Back
Top Bottom