Jemedari Saidi ahoji ukimya wa BAKWATA wakati Quran ikibagazwa bungeni hadharani

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Maandishi nguli wa habari za michezo Jemedari Saidi amehoji ukimya na unafiki wa BAKWATA huku Quran ikitumika vibaya bila kuzingatia maadili na maamrisho ya uislam

Tuliwambia kazi ya BAKWATA ni uchawa na kuutangaza mwandamo wa mwezi

1. Wameonekana wanawake wakishika kitabu hicho bila kujitoharisha lakini BAKWATA Kwa unafiki wao wakaamua kukaa kimya

2. Wanawake wameshika Quran wakiwa bila hijab

3 wanawake wameshika Quran kuapa huku matiti yakioneka wazi hii hairuhusiwa katika uislam

4. Kushika Qur'an I kwenye mazingira ya mizaha. Hii hairuhusiwi katika uislam

5. Kuweka Quran sehemu isiyo ya heshima.
Tumeshuhudia Quran tukufu ikiwekwa ovyo huko bungeni na BAKWATA hawajakemea

6. Nimeshangaa baadhi ya wabunge walioapa kushika Qur'an Kwa mkono wa kushoto.
Ambayo hii inaondoa Sunnah za uislam
 
Labla kwa sababu serikali haina dini ila watu wake wana dini ambao ndo hao sasa wanaoshika hivyo vitabu.
 
Kwenye uislam kukataza mabovu/makosa yanahitaji elimu na hekima na sio kuropoka au kitoa matamko kwa mihemuko.
Invite ˹all˺ to the Way of your Lord with wisdom and kind advice, and only debate with them in the best manner. Surely your Lord ˹alone˺ knows best who has strayed from His Way and who is ˹rightly˺ guided.
 
Kwa yoyote anayeamimi kuwa lile ni bunge na wanaopishwa ni wabunge(people's representatives) basi hata Qur'an ikichambiwa humo 'bungeni' ajionee sawa tu.
They ain't representing nobody.
 
Hao ni waislam majina tu hakuna kitu hapo,hawana hata aibu.Ubunge wenyewe wa kupewa,hapo huskii bakwata wakiongea kitu,ila wenzao wakristo wanadai haki yenyewe kutwa kusifia uongozi tuu sijui wakoje
Hahaha watakuja na utetezi subiri wataandaa vipindi kutetea hoja kua wao ndio wameruhusu hao wafanye hivyo kwa hio ina swihi
 
Hawana akili hao mashekh shule ya.
kuunga unga
 
Nadhani allah ajitetee mwenyewe kwa kitabu chake kushikwa na wanawake wakiwa kifua wazi. BAKWATA sio Mungu wamemuachia allah ajitetee mwwnyewe. Sijui niko sahihi?. Pole ukiwa nimekwaza mtu
 
Kwanza wameingia bungeni kinyume na katiba ya nchi.
Pili hawajui hata yaliyomo ndani ya hiyo Qur'an. Asilimia kubwa ya waislamu hawajawahi kusoma Qur'an from cover to cover. Katika hiyo asilimia ndogo walioisoma, wengi hawakuelewa kilichoandikwa.
Sasa mmagumbi na kiiarabu cha kale wapi na wapi.

98% ya waislam ninmamuma kuanzia ma shehe wao
 
Kila mtu ana upeo wake wa kufikiri na uelewa wa mambo na atayatolea hoja kwa jinsi alivyofundishwa na kujua, ilikuwa busara huyo aliyetoa shutuma hizo kuwauliza BAKWATA jinsi kiapo kilivyofanyika kwa wabunge waliyoapa kwa kushika Msahafu ambao ndani yake una maneno ya Quran.

Quran inatufundisha kuwauliza wenye kujua ikiwa hamjui. Natumai atapata darasa litakalomwezesha kujua asichokijua kwa mtu anayejua ili apate kujijua kuwa yeye hajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…