Idi Amin pamoja na ukatili wake lakini ulikuwa ukishakimbia nchi alikuwa hana shida na wewe tena.
Lakini hii ya Kagame kuwawinda maadui zake hadi nje na kuwaulia huko inaonyesha ni kwa kiasi gani Kagame alivyo dikteta muoga kupindukia.
Anajifanya kaleta mageuzi makubwa nchini mwake sasa kwa nini anaogopa hivyo wananchi wake?
Hawezi kujifunza kwa Magufuli ambaye pamoja na kuwa na ulinzi mkali kushinda waliowahi kuwa marais wa nchi hii lakini bado alikufa kiofisa na tai shingoni tena kirahisi kabisa.
Kagame anajidanganya tu siku zake zipo zinakuja ataiacha Rwanda apende asipende. Namshauri Gen Kayumba Nyamwasa aondoke SA atafute hifadhi ya kuaminika Ulaya au Marekani ambapo Kagame anaogopa hawezi kupeleka ugaidi wake huko kwani hawatamuacha.
Hao walinzi wake wa SA ni bogus Kagame anawanunua tu kirahisi kama mtumba.