murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 638
pretty sure mama yake sio extremist, extremists hawazai na non-extremists, you have no business bringing her here!
Naona anakupa like..mr.emotional wreck
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pretty sure mama yake sio extremist, extremists hawazai na non-extremists, you have no business bringing her here!
that's because its hard to kill 0ver 80% of the population without the world knowing! Hapo tu mmeua a few millions tayari dunia inajua na mnaweweseka.
Naona anakupa like..mr.emotional wreck
Its not hard. You killed more than 80% of our people and you will never get away from it. Dimwit.
wow! i can't even argue with that, 80% of tutsis were wiped in just 100 days, wow!, and then a person who supposedly achieved that is supposedly a dimwit? i wonder what would have happened if the accused were intelligent, 100% no?
Oooooh....so you mean the dimwit also participated in the killings? And that justifies your intelligence? Wow! At least you are beginning to reveal yourself.
Hawa jamaa ni JASUSI la kimataifa, tena baadhi ya mafunzo ameyapatia hapa Tz. Tangu wamuue Prof. Juan Timoth Mwaikuwa aliyekuwa wakili wa utetezi wa baadhi ya watu waliohusishwa na mauaji ya kimbari huko Rwanda, inaonyesha jinsi gani pia wanavyojua kufanikisha shughuli zao za kijasusi kwa ustadi mkubwa. Hawa jamaa waliingia hadi Dar nyumbani kwa huyu Prof (RIP), wakammiminia risasi na wakaondoka bila kushikwa na yeyote.
Zilipendwa hizi
Kweli kabisa.....Lakini zinatufundisha aina ya rafiki tuliyenaye!!!!
😂😂😂Ndio maana hapati Mwili kwa roho mbaya.
Tatizo hapo ni idara ya kintelijensia ya Afrika kusini pamoja na wizara ya mambo ya ndani - aidha wahusika ni wazembe sana au kikosi kilicho wekwa na Serikali ya Afrika Kusini kumlinda Nyamwasa 24X7 inaelekea majasusi wa Rwanda walifanikiwa kuwa compromise makamanda wa ulinzi kwa kuwaonga fedha lukuki ili wasiingilie kati wakati makomando wa Rwanda wanavamia nyumba anayo ishi Nyamwasa, si unajuwa tena Polisi wa Afrika kusini njaa kali - ukitanguliza rupia utapeta tu bila ya kizuizi.
Kitu kingine cha kujiuliza kwa nini attempt ya kumtoa pumzi Nyamwasa imetekelezwa wakati Rwanda imepeleka majeshi yake huko Msumbiji - kwani kuna umbali gani kutoka Msumbiji kwenda Afrika Kusini ni karibu sana hivyo ni rahisi jamaa hawa kupenyeza kikosi chao maalumu kwenda Afrika kusini kumumaliza Nyamwasa wakishirikiana/ongozwa bila shaka na sleeper cell ya Rwanda iliyopo ndani ya Afrika kusini kwa muda mrefu ifatilia nyenendo za Nyamwasa, nashangaa yeye kama mwanajeshi kwa nini anakuwa so slipy and naive anashindwa kushtukia vitu kama hivyo anaendekea kuishi Afconsequently
of all places!!
Nyamwasa should remember kwamba he won't be so lucky next time, consequently this should serve as a wake up call 4 Nyamwasa kwamba salama yake itatokana na yeye kufanya uhamuzi kuhamia Uingereza kama mkimbizi wa kisiasa - Uingereza ndilo Taifa lenye vyombo vya usalama wa Taifa ambavyo ni moto wa kuotea mbali.
Hata mimi nimeshangaa.Jamaa kwakwel ka proov uvivu wa hali ya juu saana kujisomea.wetu wa mambo ya kiusalama wa uongo na kweli mna shida sana,habari ya 2014 hii lkn kwa kutokusoma kwako unai relate na Majeshi ya Rwanda yaliyopelekwa Mozambique 2021.
Hata mimi nimeshangaa.Jamaa kwakwel ka proov uvivu wa hali ya juu saana kujisomea.
Kaona kichwa cha habar kaanza kutema cheche [emoji23][emoji23]
Mkuu, kwani hii habari ni ya lini hadi uhusishe habari za Msumbiji?Tatizo hapo ni idara ya kintelijensia ya Afrika kusini pamoja na wizara ya mambo ya ndani - aidha wahusika ni wazembe sana au kikosi kilicho wekwa na Serikali ya Afrika Kusini kumlinda Nyamwasa 24X7 inaelekea majasusi wa Rwanda walifanikiwa kuwa compromise makamanda wa ulinzi kwa kuwaonga fedha lukuki ili wasiingilie kati wakati makomando wa Rwanda wanavamia nyumba anayo ishi Nyamwasa, si unajuwa tena Polisi wa Afrika kusini njaa kali - ukitanguliza rupia utapeta tu bila ya kizuizi.
Kitu kingine cha kujiuliza kwa nini attempt ya kumtoa pumzi Nyamwasa imetekelezwa wakati Rwanda imepeleka majeshi yake huko Msumbiji - kwani kuna umbali gani kutoka Msumbiji kwenda Afrika Kusini ni karibu sana hivyo ni rahisi jamaa hawa kupenyeza kikosi chao maalumu kwenda Afrika kusini kumumaliza Nyamwasa wakishirikiana/ongozwa bila shaka na sleeper cell ya Rwanda iliyopo ndani ya Afrika kusini kwa muda mrefu ifatilia nyenendo za Nyamwasa, nashangaa yeye kama mwanajeshi kwa nini anakuwa so slopy and naive, anashindwa kushtukia vitu kama hivyo badala yake anaendelea kuishi Afika kusini of all places!!
Nyamwasa should remember kwamba he won't be so lucky next time, consequently this should serve as a wake up call 4 Nyamwasa kwamba salama yake itatokana na yeye kufanya uhamuzi wa kuhamia Uingereza kama mkimbizi wa kisiasa - Uingereza ndilo Taifa lenye vyombo vya usalama wa Taifa ambavyo ni moto wa kuotea mbali.
Mpe sifa zote katika ardhi hii ila utafika mwisho wake,Na mwisho wake huwa mbaya na lau tungelikuwa karibu siku Kagame anatolewa roho huwa ni mateso makali kwani malaika huzichuna roho zao kwa nguvu...! Ao atapewa umri mrefu mpaka akafika wakati roho za watu alizowasababishia kifo huanza kumsumbua ....!Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu. Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote ispokuwa Rwanda. Amekiri pia kuwa nyumba yake inalindwa na polisi wa A. Kusini na kuwa kilichomwokoa ni kwamba yeye hakuwepo wakati wa uvamizi huo.
My take: Nchi kama South Afrika lazima wawe na mifumo bora ya kiulinzi, inakuwaje Kagame anaweze kupenyeza watu wake na wakaenda kushambulia eneo linalolindwa namna ile?
Kumbuka alisema kwa kinywa chake kwamba wasaliti wa nchi yake hawako salama na kuwa it's a matter of time!
Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?
Kwa maisha aliyoyaishi Kagame ukimletea hizo story za sijui firauni hawezi hata kukuelewa.Mpe sifa zote katika ardhi hii ila utafika mwisho wake,Na mwisho wake huwa mbaya na lau tungelikuwa karibu siku Kagame anatolewa roho huwa ni mateso makali kwani malaika huzichuna roho zao kwa nguvu...! Ao atapewa umri mrefu mpaka akafika wakati roho za watu alizowasababishia kifo huanza kumsumbua ....!
Je hukupata kusikia mwisho wa firaun na Nemrod ?