Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

..sijui kama ni kweli, lakini kuna habari kwamba Rwanda imewatimua wanadiplomasia wa South Africa walioko Kigali.

cc MUKAMASIMBA, jMali, Selemani
 
Last edited by a moderator:
Who told you!


Aliyemuua prof Juan Timothy Mwaikusa alikuwa Tanzania. Alikamatwa baada ya Siku cha he akiwa mafichoni morogoro. Alishatangulizwa mbele ya haki...... Tanzania si kama SA. Vidole vote vya Paulo vinavyo igusa Tanzania vinakatwa maramoja.
 
tanzania nizaidi ya uijuavyo,kwenye mambo ya ndani unaweza kuona ni nchi iko weak sana,lakini maswala nje wejaribu utaona how intelligent we are..nadhani uantaka kuzungumzia matukio kadhaa yaliyofanya na bwana kagame hapa nchini kama la kutuma watu walio muua Prof.Mwaikusi nyumbani kwake..!

...ni kweli mkuu siijui kiiivyo kwa taarifa za kiusalama nilizo bahatika kuzipata wakati wa ujio wa obama,tathmini ya US kwa tz, tuko vibaya sanaaa, believe me, tusijidanganye. simple mtu anawezaje kuvuka mipaka yoooote na kufika mpaka dar na kupiga tukio na watu wasimuone wala kumdaka...
 
kayumba mwenyewe mtutsi ....labda sema ulichokusudia ukianzia hapo....unachokosea ni kusema watutsi wako katika taasis nyeti....kuwa mtusi haikukatazi kuwa mtz.....
...mkuu unajua hawa jamaa ni wakabila wa kufa mtu,so usiwaamini hata sekunde moja, mbaya zaidi pk anaweza kuajili wabongo kwaajili ya kazi yake kama anavyofanya mmarekani...
 
...ni kweli mkuu siijui kiiivyo kwa taarifa za kiusalama nilizo bahatika kuzipata wakati wa ujio wa obama,tathmini ya US kwa tz, tuko vibaya sanaaa, believe me, tusijidanganye. simple mtu anawezaje kuvuka mipaka yoooote na kufika mpaka dar na kupiga tukio na watu wasimuone wali kumdaka...

Ingenja namfananisha na marafiki zangu wengi tu waavivu wa kufikilia issues...utasikia kama huyu jamaa eti "tz ni zaidi ya uijuavyo ...teh sijajua ni kujiriwaza ama?tz ipo vizuri kivipi?tembo wanamalizwa na nani?charity begins at home
 
Kuna mzee mmoja Mtutsi alikuwa anafanyakazi Wizara ya Mambo ya Ndani kwa sasa amekwisha fariki. Alikuwa akijitambulisha kuwa ni Mhaya, aliwasaidia Watutsi wengi ambao walikuwa ni wakimbizi wa mwaka 1994 kupata uraia wa TZ. Inawezekana wapo wengi aina ya huyo mzee.

na watu wa wizarani walikuwa wamelala??
 
Si kwamba rais Ni dhaifu! Hapana! Kwani Wewe unaamini Kua Yule profesa Juan aliuawa na mkono Wa Kigali?

kutokana na sababu zinazosemwa hapo juu ndio naamini na pia serikali haitoi taarifa kuhusu hilo jambo,
 
Umesahau Chacha Wangwe,CCM na Serikali yake ina wataalamu waliosomea karibu nchi zote zinazoongoza kwa ujasusi,lkn hawana haja ya kuwazuru wapinzani wao wakisiasa,kwasababu si sera yao,wapinzani wao ni wepesi sana,si umejionea CHOPA tatu viti vitatu.

Unanikumbusha sanifu na katuni zao za USITAKE NCHEKE. Sijui imeingiaje chopa tatu kata tatu
 
kutokana na sababu zinazosemwa hapo juu ndio naamini na pia serikali haitoi taarifa kuhusu hilo jambo,



Kuna mambo mengi serikali inakaa kimya lkn ktk hili siamini Km Kigali wanahusika!

Mfano Mdogo tu! Huyo General amekoswa kuuwawa na makechelo Wa Kigali huko SA, serikali ya SA imewatimua wanadiplomasia wa3 walioko kwa ubalozi Wa Kigali huko SA! Kwahiyo Km hizi habari mpk Sisi raia tunazijadili inamaana vyombo vya usalama viko na ushahidi! Kwanini wasifanye Km SA?

Hili swala tuliache Km lilivyo! Ni mambo magumu haya!
 
Kuna mambo mengi serikali inakaa kimya lkn ktk hili siamini Km Kigali wanahusika!

Mfano Mdogo tu! Huyo General amekoswa kuuwawa na makechelo Wa Kigali huko SA, serikali ya SA imewatimua wanadiplomasia wa3 walioko kwa ubalozi Wa Kigali huko SA! Kwahiyo Km hizi habari mpk Sisi raia tunazijadili inamaana vyombo vya usalama viko na ushahidi! Kwanini wasifanye Km SA?

Hili swala tuliache Km lilivyo! Ni mambo magumu haya!

mkuu ni kweli kuna some truths are better left unsaid
 
Huyu Prof aliuwawa na Kagame! Nakumbuka jinsi kile kifo kilivyokuwa na utata.

Halafu serikali ya Tanzania haikufanya upelelezi wowote, na kumwacha Profesa yule akipotea kama asiyekuwa na thamani katika jamii. Wenzetu upelelezi wa mauajia huchukua hata miaka 50 hawaachi mwuaji akaenda bila kutafutwa.
 
Baada ya kupata credit sana kwa kuijenga Rwanda kwa kutumia raslimali nyingi sana za kutoka Kongo anayodhoofisha kupitia M23, ni vizuri Kagame angejiepusha na external conflicts zaido kwa vile hizo zinaweza kufuta footprint yake yote hapo Rwanda na kujikuta nchi inaanza zero tena.
 
Kagame has to be killed ili Rwanda itulie. The guy is paranoid na any news involving him and this is a good sign that it is just a matter of time before he is killed.
 
Laleni kenge nyie
nani kenge we lofa?tungekuwa kenge tusingemzalisha mama yako wewe na ukakua mpaka leo ukaweza kujua kompyuta na keyboard kisha ukaja kutukana Hapa.muulize mama yako babako nani then urudi na heshima ---- ww:rain:
 
Back
Top Bottom