Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..sijui kama ni kweli, lakini kuna habari kwamba Rwanda imewatimua wanadiplomasia wa South Africa walioko Kigali.
cc MUKAMASIMBA, jMali, Selemani
ndio wanasema kwa sababu sa ina hifadhi terrorist, na wakati huo huo sa wametimua maaofisa watatu wa ubalozi wa Rwanda ni tit for tat..sijui kama ni kweli, lakini kuna habari kwamba Rwanda imewatimua wanadiplomasia wa South Africa walioko Kigali.
cc MUKAMASIMBA, jMali, Selemani
Aliyemuua prof Juan Timothy Mwaikusa alikuwa Tanzania. Alikamatwa baada ya Siku cha he akiwa mafichoni morogoro. Alishatangulizwa mbele ya haki...... Tanzania si kama SA. Vidole vote vya Paulo vinavyo igusa Tanzania vinakatwa maramoja.
tanzania nizaidi ya uijuavyo,kwenye mambo ya ndani unaweza kuona ni nchi iko weak sana,lakini maswala nje wejaribu utaona how intelligent we are..nadhani uantaka kuzungumzia matukio kadhaa yaliyofanya na bwana kagame hapa nchini kama la kutuma watu walio muua Prof.Mwaikusi nyumbani kwake..!
...mkuu unajua hawa jamaa ni wakabila wa kufa mtu,so usiwaamini hata sekunde moja, mbaya zaidi pk anaweza kuajili wabongo kwaajili ya kazi yake kama anavyofanya mmarekani...kayumba mwenyewe mtutsi ....labda sema ulichokusudia ukianzia hapo....unachokosea ni kusema watutsi wako katika taasis nyeti....kuwa mtusi haikukatazi kuwa mtz.....
...ni kweli mkuu siijui kiiivyo kwa taarifa za kiusalama nilizo bahatika kuzipata wakati wa ujio wa obama,tathmini ya US kwa tz, tuko vibaya sanaaa, believe me, tusijidanganye. simple mtu anawezaje kuvuka mipaka yoooote na kufika mpaka dar na kupiga tukio na watu wasimuone wali kumdaka...
Kuna mzee mmoja Mtutsi alikuwa anafanyakazi Wizara ya Mambo ya Ndani kwa sasa amekwisha fariki. Alikuwa akijitambulisha kuwa ni Mhaya, aliwasaidia Watutsi wengi ambao walikuwa ni wakimbizi wa mwaka 1994 kupata uraia wa TZ. Inawezekana wapo wengi aina ya huyo mzee.
Si kwamba rais Ni dhaifu! Hapana! Kwani Wewe unaamini Kua Yule profesa Juan aliuawa na mkono Wa Kigali?
Huyu Prof aliuwawa na Kagame! Nakumbuka jinsi kile kifo kilivyokuwa na utata.
Umesahau Chacha Wangwe,CCM na Serikali yake ina wataalamu waliosomea karibu nchi zote zinazoongoza kwa ujasusi,lkn hawana haja ya kuwazuru wapinzani wao wakisiasa,kwasababu si sera yao,wapinzani wao ni wepesi sana,si umejionea CHOPA tatu viti vitatu.
kutokana na sababu zinazosemwa hapo juu ndio naamini na pia serikali haitoi taarifa kuhusu hilo jambo,
Kuna mambo mengi serikali inakaa kimya lkn ktk hili siamini Km Kigali wanahusika!
Mfano Mdogo tu! Huyo General amekoswa kuuwawa na makechelo Wa Kigali huko SA, serikali ya SA imewatimua wanadiplomasia wa3 walioko kwa ubalozi Wa Kigali huko SA! Kwahiyo Km hizi habari mpk Sisi raia tunazijadili inamaana vyombo vya usalama viko na ushahidi! Kwanini wasifanye Km SA?
Hili swala tuliache Km lilivyo! Ni mambo magumu haya!
mkuu ni kweli kuna some truths are better left unsaid
Huyu Prof aliuwawa na Kagame! Nakumbuka jinsi kile kifo kilivyokuwa na utata.
nani kenge we lofa?tungekuwa kenge tusingemzalisha mama yako wewe na ukakua mpaka leo ukaweza kujua kompyuta na keyboard kisha ukaja kutukana Hapa.muulize mama yako babako nani then urudi na heshima ---- ww:rain:Laleni kenge nyie