Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu. Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote ispokuwa Rwanda. Amekiri pia kuwa nyumba yake inalindwa na polisi wa A. Kusini na kuwa kilichomwokoa ni kwamba yeye hakuwepo wakati wa uvamizi huo.

My take: Nchi kama South Afrika lazima wawe na mifumo bora ya kiulinzi, inakuwaje Kagame anaweze kupenyeza watu wake na wakaenda kushambulia eneo linalolindwa namna ile?

Kumbuka alisema kwa kinywa chake kwamba wasaliti wa nchi yake hawako salama na kuwa it's a matter of time!

Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?

Narudia tena na tena na nitaendelea krudia...Kuweni makini na thread zinazoanzishwa hapa na wanyarwanda wanaotafuta sympathy au kuungwa mkono na watanzania katika chuki na propaganda za kwao. Kumbukeni dhambi yao ya ubaguzi ilisababisha nini 1994 before and beyond. Tusiruhusu ideology za kibaguzi ziingie na kutawala mioyo yetu and please let's stay away from their propaganda...we already have a lot on our plates.

Ukitaka kuhakikisha kuwa wote hawa si wenzetu nakiri majina yao pembeni na uingie kwenye thread za katiba mpya and all that uone kama utamkuta Jmali mukamasimba sijui wadudu gani...hawapo coz they care less. They don't belong there. Ila anzisha thread ya kagame sijui watusi wahutu uone wanavoanza kuhemea juu kwa juu...na kuja juu punde wanapoambiwa si watanzania. Ivi huko kwao hamnaga social network za kupambania mpaka vita vyao vipiganiwe jamii forum? Haya Kwaherini.
 
sisi watanzania tuko hapa miaka kibao, mimi mwenyewe huu mwaka wa nne sasa JF, tukijadili masuala mengine tu na si ya Rwanda. Nyinyi kagame supporters ID zenu earliest ni mwaka jana 2013, pale kwenye zile ishu za kagame kututishia nyau ndipo mkajiunga ili kumtetea. ID hii tu ya kwako imekuja mwezi juzi 2014! na ime-concentrate kwenye forum za Rwanda tu!
Msitufanye wajinga, hata mfalme wenu kagame kashashtukiwa Twitter sembuse nyinyi? eti dhambi ya ubaguzi 94, ubaguzi ulianza 94 au miaka mia nne ya ukoloni wa watutsi mpaka 1958?
 
I

Told you guys...Bwahahaha...Jiwe limempata mwenyewe! Kwa hiyo miaka minne JF ndo kipimo cha utanzania? Waliojiunga recently wote wa Rwanda tena watusi? Hahahahah!

Point yangu usijisahaulishe nimesema hivi: tuna suala nyeti sana la katiba mpya mbona siwaoni huko? Ila yakizungumziwa ya Rwanda mnakuja tena na nondo za kutosha huku mnahemea juu? Au mko ki intaneshno zaidi?
 
Laurent Kabila aliuliwa kwa amri toka kwa Paul Kagame. Kagame ndiye aliamrisha watu wake waitungue ndege iliyombeba Habyarimana toka Dar kwenda Kigali. In fact, Kagame ndiye chanzo cha mauaji ya kimbali. Wahutu walichukia sana Raisi wao kuuliwa na Watusi. Kagame kamwua mwalimu wangu Prof. Jwani Mwaikusa. Kagame amelowa damu chapa chapa
 
nani kawambia kagame au
serikali yake inahusika na hili? nyie watu mmegeuza JF kuwa sehemu ya
majungu tuu,na hii Kagame bashing humu imekuwa too much na accusations
nyingi ni za kutunga tuu na hadithi za kufikirika,kuna idiot mmoja
kaandika hata Kombe Kigali ina mkono,Ukwaju unajulikana ni big hater wa
Kagame,acheni kujenga chuki based on lies
koba huwa mnanitia hasira nyie basi tu na leo jioni ngoja nikamgonge demu wa kitutsi aliekoswakoswa na kimbunga huenda hasira zangu zitatulia
 
Afadhari hata hasira zako. Za akina Jmali, mokala198, rushasha (aka my mother is tutsi) ni za kutuondoa sote hapa duniani.
 
I

Told you guys...Bwahahaha...Jiwe limempata mwenyewe! Kwa hiyo miaka minne JF ndo kipimo cha utanzania? Waliojiunga recently wote wa Rwanda tena watusi? Hahahahah!

Point yangu usijisahaulishe nimesema hivi: tuna suala nyeti sana la katiba mpya mbona siwaoni huko? Ila yakizungumziwa ya Rwanda mnakuja tena na nondo za kutosha huku mnahemea juu? Au mko ki intaneshno zaidi?

1. Haiwezekani wewe umekuja last week na moja kwa moja unaongelea Rwanda tu tena ukiwa upande wa kagame uninyooshee kidole mimi niliyeingia 2010 nikichangia mijadala isiyohusu Rwanda mpaka mwaka jana.

2. Nashukuru umekubali kuwa wabongo tunapojadili Rwanda "tunatoa nondo" tena "za kutosha", urakoze cyane. (LOL).
 
Afadhari hata hasira zako. Za akina Jmali, mokala198, rushasha (aka my mother is tutsi) ni za kutuondoa sote hapa duniani.

kweli kabisa tunatakiwa tuwaondoe tutsi-extremists wooote duniani! au sio ndugu zangu rushasha ?
 
Last edited by a moderator:
koba huwa mnanitia hasira nyie basi tu na leo jioni ngoja nikamgonge demu wa kitutsi aliekoswakoswa na kimbunga huenda hasira zangu zitatulia

Afadhari hata hasira zako. Za akina Jmali, mokala198, rushasha (aka my mother is tutsi) ni za kutuondoa sote hapa duniani.

kweli kabisa tunatakiwa tuwaondoe tutsi-extremists wooote duniani! au sio ndugu zangu rushasha ?

hahaha. ondoeni kwanza ujinga, maradhi, umaskini wa watanzania then you can come to us

afadhali tumekubaliana once and for all kuwa: you are tutsi-extremists!.
 
1. Haiwezekani wewe umekuja last week na moja kwa moja unaongelea Rwanda tu tena ukiwa upande wa kagame uninyooshee kidole mimi niliyeingia 2010 nikichangia mijadala isiyohusu Rwanda mpaka mwaka jana.

2. Nashukuru umekubali kuwa wabongo tunapojadili Rwanda "tunatoa nondo" tena "za kutosha", urakoze cyane. (LOL).

Boring already...Yawning!
 
kweli kabisa tunatakiwa tuwaondoe tutsi-extremists wooote duniani! au sio ndugu zangu rushasha ?

Mnasubiri nini? you tried 94 mkaishia kuiba mihogo pori na kubaka Congolese women,nasikia wanyama wakali,njaa na cholera viliwasafisha huko msituni kuliko gun,this time ile chance ya kumalizwa na cholera hutaipata.
 
koba huwa mnanitia hasira nyie basi tu na leo jioni ngoja nikamgonge demu wa kitutsi aliekoswakoswa na kimbunga huenda hasira zangu zitatulia
Hasira ya kuambiwa usichotaka kusikia,utakuwa mwehu wewe
 
Laurent Kabila aliuliwa kwa amri toka kwa Paul Kagame. Kagame ndiye aliamrisha watu wake waitungue ndege iliyombeba Habyarimana toka Dar kwenda Kigali. In fact, Kagame ndiye chanzo cha mauaji ya kimbali. Wahutu walichukia sana Raisi wao kuuliwa na Watusi. Kagame kamwua mwalimu wangu Prof. Jwani Mwaikusa. Kagame amelowa damu chapa chapa

[h=1]Rwanda genocide: Kagame 'cleared of Habyarimana crash'[/h]
_57335246_000119681-1.jpg
Around 800,000 Tutsis and moderate Hutus were killed in Rwanda in 1994
Continue reading the main story [h=2]Rwanda: Haunted Nation[/h]

A report has appeared to clear Rwanda's President Paul Kagame of orchestrating the 1994 assassination of the country's then-leader Juvenal Habyarimana.
The team - mandated by a French inquiry - visited the scene of the attack to work out the trajectory of the missile which shot down his plane.
The crash was one of the triggers that sparked the genocide.
An earlier French probe blamed Mr Kagame and his allies, but they say Hutu extremists killed Habyarimana.
Rwanda's government has welcomed the conclusions of this new report.
The plane crash on 6 April 1994 - in which Habyarimana and Burundi's leader died - triggered the genocide of 800,000 Tutsis and moderate Hutus in just 100 days.
The killings came to an end when the Tutsi-led Rwandan Patriot Front (RPF) rebel movement, headed by Mr Kagame, captured Rwanda's capital, Kigali.
Elite presidential troops Continue reading the main story [h=2]Analysis[/h]
_56093923_56093922.jpg
Hugh Schofield BBC News, Paris
This is an important development in the row over the Habyarimana assassination, because it removes much of the force from the theory that he was killed by President Paul Kagame's then RPF rebels. The emergence of this theory - and then the support it received from France's leading anti-terrorist judge - caused a total diplomatic breakdown between Paris and Kigali.
In the Rwandan capital, it was widely believed that the judge was under government instructions to implicate Mr Kagame's men in order to deflect attention from France's own alleged guilt in the 1994 massacres. There is no evidence of that. But it is true that claims about RPF involvement were based mainly on the evidence of defectors, which could not be seen as reliable.
The new technical report - ordered by a new judge - appears to be based on much more solid evidence. The experts say the missile that downed President Habyarimana's jet must have come from his own army camp. In other words, it must have been fired by Hutu extremists. That is exactly the version that President Kagame has always upheld.
If the report ends up exculpating the associates of Mr Kagame named in the investigation, there will be much relief in Kigali. Probably in the French foreign ministry too.

Correspondents say the court on Tuesday concluded that the missile was shot from a distance of up to 1km (more than half a mile) away from the plane, which was about to land at Kigali airport.
At the time this area was held by the Rwandan army - a unit of elite presidential troops.
The experts say it would be very difficult for forces loyal to Mr Kagame to be in this area and therefore shoot down the plane.
They concluded that it would have been much easier for Habyarimana's troops or French troops who were in the area to launch the missile.
In 2006, a French judge accused Mr Kagame and his allies of killing Habyarimana - an allegation he dismissed as "ridiculous" and which prompted him to break off relations with Paris for three years.
Five years later, in 2011, a former senior ally of the president Theogene Rudasingwa - the RPF's secretary general and a major at the time of the genocide - also accused Mr Kagame. Mr Rudasingwa fell out with the president and now lives in exile in the US.
Mr Kagame has always insisted that Hutu hardliners - who considered Habyarimana too moderate - shot down the plane and blamed the RPF to provide a pretext for carrying out the premeditated slaughter.
Critics of the 2006 investigation said it failed to visit the area of the attack, or interview the nine high-ranking RPF officers it accused of involvement. It said the missile was shot from a distance of four kilometres away from the airport.
French judge Marc Trevidic headed this latest French inquiry, launched - with the full co-operation of the Rwandan authorities - towards the end of 2010 because the French crew of the plane also died.
The team has interviewed six of those accused in the 2006 report and conducted a forensic investigation. Two missiles specialists, two air accident experts, a pilot, two surveyors and a sound expert have reconstructed the sequence of the attack.
'Unhappy' Following this report, Judge Trevidic can either drop the affair or continue his investigations, which could result in a court case.
"Today's findings constitute vindication for Rwanda's long-held position on the circumstances surrounding events of April 1994," Rwanda's Foreign Minister Louise Mushikiwabo said in a statement.
The lawyer for the Habyarimana family said they are unhappy about the report's conclusions - questioning the credibility of the experts - and they still want someone to be found guilty.
"It does not matter where the shooting took place," Habyarimana's son Jean-Luc told the BBC's Great Lakes service.
"What matters is who fired the missile," he said.
Habyarimana's widow, Agathe, told the BBC that she wanted the French inquiry to find out who had bought the allegedly Russian missile that hit the plane - because that would help to identify those behind the attack.
Rwanda has historically been beset by ethnic tension. It worsened under Belgian colonial rule when the Tutsi minority enjoyed better jobs and better education than the Hutu majority.
At independence, following inter-ethnic violence, many thousands of Tutsis went into exile in Uganda from where they eventually launched a civil war in 1990.
A 1993 peace agreement was supposed to usher in a power-sharing government - but it did little to stop the unrest.
 
Laurent Kabila aliuliwa kwa amri toka kwa Paul Kagame. Kagame ndiye aliamrisha watu wake waitungue ndege iliyombeba Habyarimana toka Dar kwenda Kigali. In fact, Kagame ndiye chanzo cha mauaji ya kimbali. Wahutu walichukia sana Raisi wao kuuliwa na Watusi. Kagame kamwua mwalimu wangu Prof. Jwani Mwaikusa. Kagame amelowa damu chapa chapa
Two charged with murdering a top law professor Jwan Mwaikusa
Two Dar es Salaam residents yesterday appeared before Kisutu Resident Magistrate Court charged with murdering a renowned lawyer and a university of Dar es Salaam don, Jwani Mwaikusa.
Joseph Machoche and Jackson Zebedayo appeared before principle resident magistrate Gabriel Milumbe but were not allowed to enter any plea because the lower court has no jurisdiction to hear murder cases.
According to the charge that was read by state attorney Anne Malipula, the duo allegedly murdered the top lawyer in July 13 this year at 9:40pm at Mkonde Street in Salasala area within Kinondoni district.
In what appears to be the state plan to show that the duo were seasoned criminals, they were joined with other two accused, Charles Wambura and Magige Hassan Buranga, in other 10 different cases of murder, armed robbery and possession of fire arms.
In the charges that were read before different magistrates, the four were accused of murdering Gwamaka Masanjara, John Mtui, Angela Katema and Medius Joseph.

They are alleged to have committed the offences in diverse dates between May and August this year within dare s Salaam city.

According to prosecution, Zebedayo was found in June 30 in illegal possession of two fire arms and 57 rounds of ammunitions without valid documents.
All suspects were driven to remand prison until August 9 this year when their cases comes for another mention.
The top law Professor and two other people were shot dead in July 13 during a raid at his home on Dar es Salaam's outskirts in the latest incident in a wave of mounting crime in the city's suburbs.
Reports obtained after the incident indicated that the killers, who ambushed the law lecturer as soon as he drove into the compound of his modest residence at SalaSala, on the northern outskirts of the city, felled him with two bullets – one into the head and the other into the chest.
Killed alongside the 58-year-old scholar, who was also a defence lawyer at the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) at Arusha, were his nephew, Mr Mwaisanjala, 25, and a neighbour identified as Mr Mtui.
The neighbour was shot several metres away, as he led a group of villagers, who had responded to cries emanating from the professor's home. All the victims died on the spot.
But according to the late Mwaikusa's eldest son Baraka, 28, his father was ambushed by the bandits when he was still in the car in front of the house.
"The bandits first killed Gwamaka who had confronted them when my father was still in the car, trying to park it in the compound of our residence. He managed to hit him to the ground, provoking his colleague to come to his rescue and shot him at close range," he said.

He said that the bandits then confronted his father and ordered him to open the window but he refused. "They decided to shoot him twice, then they opened the window and pulled him out and started searching him," he narrated.
The son further said that one of the gunmen was drunk and holding a pistol and the other was carrying a shotgun.
One witnesses told reporters at the scene that he had gone to the area after killing Prof Mwaikusa, the bandits went to the neighbourhood and found some people at a busy shopping centre.
The bandits ordered the people to lie down and started to search them. During the search, they found a pistol with one of the victims, Mr Mtui and shot him dead.
The robbers also raided a nearby shot and robbed the owner of cash and mobile phone vouchers worth over Sh120,000. The locals the raiders had arrived by motorbike.
Of late armed robbers have raided a number of the posh homes on the outskirts, robbing the owners of household goods, cash and other property. The worst affected areas include Mbezi, Tegeta, Kunduchi, Vingunguti and Kimara.
In the past two months alone, five people have been shot dead by armed robbers. Two businessmen were shot dead last month at Kimara Temboni. In May, a trader was shot dead in Vingunguti.
In the Mbezi Beach area, residents recently called a press conference to appeal to police to step up patrols to curb armed robberies.

Ends.
 
Two charged with murdering a top law professor Jwan Mwaikusa
Two Dar es Salaam residents yesterday appeared before Kisutu Resident Magistrate Court charged with murdering a renowned lawyer and a university of Dar es Salaam don, Jwani Mwaikusa.
Joseph Machoche and Jackson Zebedayo appeared before principle resident magistrate Gabriel Milumbe but were not allowed to enter any plea because the lower court has no jurisdiction to hear murder cases.
According to the charge that was read by state attorney Anne Malipula, the duo allegedly murdered the top lawyer in July 13 this year at 9:40pm at Mkonde Street in Salasala area within Kinondoni district.
In what appears to be the state plan to show that the duo were seasoned criminals, they were joined with other two accused, Charles Wambura and Magige Hassan Buranga, in other 10 different cases of murder, armed robbery and possession of fire arms.
In the charges that were read before different magistrates, the four were accused of murdering Gwamaka Masanjara, John Mtui, Angela Katema and Medius Joseph.

They are alleged to have committed the offences in diverse dates between May and August this year within dare s Salaam city.

According to prosecution, Zebedayo was found in June 30 in illegal possession of two fire arms and 57 rounds of ammunitions without valid documents.
All suspects were driven to remand prison until August 9 this year when their cases comes for another mention.
The top law Professor and two other people were shot dead in July 13 during a raid at his home on Dar es Salaam’s outskirts in the latest incident in a wave of mounting crime in the city’s suburbs.
Reports obtained after the incident indicated that the killers, who ambushed the law lecturer as soon as he drove into the compound of his modest residence at SalaSala, on the northern outskirts of the city, felled him with two bullets – one into the head and the other into the chest.
Killed alongside the 58-year-old scholar, who was also a defence lawyer at the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) at Arusha, were his nephew, Mr Mwaisanjala, 25, and a neighbour identified as Mr Mtui.
The neighbour was shot several metres away, as he led a group of villagers, who had responded to cries emanating from the professor’s home. All the victims died on the spot.
But according to the late Mwaikusa's eldest son Baraka, 28, his father was ambushed by the bandits when he was still in the car in front of the house.
“The bandits first killed Gwamaka who had confronted them when my father was still in the car, trying to park it in the compound of our residence. He managed to hit him to the ground, provoking his colleague to come to his rescue and shot him at close range,” he said.

He said that the bandits then confronted his father and ordered him to open the window but he refused. “They decided to shoot him twice, then they opened the window and pulled him out and started searching him,” he narrated.
The son further said that one of the gunmen was drunk and holding a pistol and the other was carrying a shotgun.
One witnesses told reporters at the scene that he had gone to the area after killing Prof Mwaikusa, the bandits went to the neighbourhood and found some people at a busy shopping centre.
The bandits ordered the people to lie down and started to search them. During the search, they found a pistol with one of the victims, Mr Mtui and shot him dead.
The robbers also raided a nearby shot and robbed the owner of cash and mobile phone vouchers worth over Sh120,000. The locals the raiders had arrived by motorbike.
Of late armed robbers have raided a number of the posh homes on the outskirts, robbing the owners of household goods, cash and other property. The worst affected areas include Mbezi, Tegeta, Kunduchi, Vingunguti and Kimara.
In the past two months alone, five people have been shot dead by armed robbers. Two businessmen were shot dead last month at Kimara Temboni. In May, a trader was shot dead in Vingunguti.
In the Mbezi Beach area, residents recently called a press conference to appeal to police to step up patrols to curb armed robberies.

Ends.

Mkuu, unajua hawa akina Jmali wakiona wanajibiwa kifupi fupi wanadhani sisi hatuna taarifa. Watu waliomuua walikuwa wamelewa as per his son. Hahahaha kweli hao walitumwa na kagame. NOT.
 
If we were extremists, there would have been only one tribe remaining in rwanda.

that's because its hard to kill 0ver 80% of the population without the world knowing! Hapo tu mmeua a few millions tayari dunia inajua na mnaweweseka.
 
Back
Top Bottom