Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

hujui lolote kumbe wewe ndo viongozi hao wapum++bavu so ungekuwa wewe rais ungepeleka nchi vitani hata kama si kwa maslahi ya nchi na wananchi?idi amini kama sikosei aliclaim sehem ya tz na kuua watu na pia idd amin was a dictator he wasnt a legitimate leader of uganda ndo maana it was easy for mwl to oust the guy....hata hvo inawagarimu watz hadi kesho.....huna akili

"idd amin was a dictator he wasnt a legitimate leader of uganda" . toa iddi amin weka kagame, toa uganda weka Rwanda!
 
Jmali, mokala1989,rushasha & co. (the coalition of dimwits) hawawezi kuelewa analysis nzuri kama hii yako mkuu.

OF COURSE, SISI SIO WATUTSI-EXTREMISTS! wala sio watanzania feki.
 
"idd amin was a dictator he wasnt a legitimate leader of uganda" . toa iddi amin weka kagame, toa uganda weka Rwanda!

Legitimate leader to who? The Rwandese who elected him or you (the coalition of dimwits)...niga pleeeease! Get a life.
 
OF COURSE, SISI SIO WATUTSI-EXTREMISTS! wala sio watanzania feki.

Unajua traits wa interahamwe? common and consistent words mnazotumia ni kama "sis watanzania", "sisi wapenda amani" so that all the other peace loving tanzanians wadhani kwamba na nyie ni watanzania kumbe ni wale waliokimbia 1994 na mnaogopa kurudi ku face justice.
 
Kuna tetesi kuwa Hayati Wakili Prof. Juan Mwaikusa aliuwawa na makachero wa Kagame baada ya Mwaikusa, ambaye alikuwa Wakili katika kesi za ICTR, kutaka Kagame afikishwe ICTR akujibu tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwaka 1994 kule Rwanda
 
...hatamaliza siku tatu anazikwa,watutsi wapo mpaka kwenye taasisi nyeti kunausalama hapo...?

tanzania nizaidi ya uijuavyo,kwenye mambo ya ndani unaweza kuona ni nchi iko weak sana,lakini maswala nje wejaribu utaona how intelligent we are..nadhani uantaka kuzungumzia matukio kadhaa yaliyofanya na bwana kagame hapa nchini kama la kutuma watu walio muua Prof.Mwaikusi nyumbani kwake..!
 
Ni kosa kisheria vyombo vya usalama kuvuka mipakana kwenda kuuwa raia wa nchi jirani ndani ya nchi yake!

Alafu mpk habari wananchi wameifahamu Maana yake Ni kwamba vyombo vya usalama vya Tz viko na ushahidi Wa kutosha na serikali yetu iko kimya bila kutoa kauli zozote kwa Kigali Km walihusika Maana yake Ni kwamba wameshindwa kutulinda! Na hii Ni kinyume na katiba!

Kwahiyo Hilo swala Ni la kuangalia sn

Kwahiyo kama hapa jf tungetumia majina yetu halisi na tunavyomsema vibaya angetufuata majumbani kwetu basi.
 
Kwahiyo kama hapa jf tungetumia majina yetu halisi na tunavyomsema vibaya angetufuata majumbani kwetu basi.

Ndio nikasema tunatakiwa kuangalia kwa umakini Hilo swala!
 
Kwahiyo kama hapa jf tungetumia majina yetu halisi na tunavyomsema vibaya angetufuata majumbani kwetu basi.

Kuna mzee mmoja Mtutsi alikuwa anafanyakazi Wizara ya Mambo ya Ndani kwa sasa amekwisha fariki. Alikuwa akijitambulisha kuwa ni Mhaya, aliwasaidia Watutsi wengi ambao walikuwa ni wakimbizi wa mwaka 1994 kupata uraia wa TZ. Inawezekana wapo wengi aina ya huyo mzee.
 
Kayumba kajizushia tu! anatafuta attention ya south afrika kwani walikua wamemsahau tangu karegeya alipokufa kayumba alikua kama amesahaulika sasa anataka serikali ya south afrika impe uzito kama ilivyokua ikifanya kwa karegeya.

MUKAMASIMBA mimi sina uhakika wewe ni mtu wa namna gani kwa hiyo mara nyingi sana huwa sitaki malumbano na wewe maana mwisho wa siku hutakawia kuniita FDLR.Lakini all in all ukweli unauujua sana
 
Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu. Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote ispokuwa Rwanda. Amekiri pia kuwa nyumba yake inalindwa na polisi wa A. Kusini na kuwa kilichomwokoa ni kwamba yeye hakuwepo wakati wa uvamizi huo.

My take: Nchi kama South Afrika lazima wawe na mifumo bora ya kiulinzi, inakuwaje Kagame anaweze kupenyeza watu wake na wakaenda kushambulia eneo linalolindwa namna ile?

Kumbuka alisema kwa kinywa chake kwamba wasaliti wa nchi yake hawako salama na kuwa it's a matter of time!

Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?[/QUODan Fodio
 
Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?

Hatuna shida na Kagame,wala Wanyarwanda,kauli kama hizo ni za kichochezi!
 
Sengelema
Umesahau Chacha Wangwe,CCM na Serikali yake ina wataalamu waliosomea karibu nchi zote zinazoongoza kwa ujasusi,lkn hawana haja ya kuwazuru wapinzani wao wakisiasa,kwasababu si sera yao,wapinzani wao ni wepesi sana,si umejionea CHOPA tatu viti vitatu.
 
Back
Top Bottom