Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

mmh hata ningekuwa naitwa Rwanda haikuondolei tatizo la kukosa info...u are not informed that is very obvious so jina halina maana sana hapa...au unapoza machungu ya kuropoka?

Jibu kwanini Mkabila mwenzenu(kagame the cockroach ananyanyasa wahutu, acha kuficha ushenzi wa watusi dhidi ya wahutu wauaji ninyi na kagame wenu, mtaua wangapi kisa kupingwa
 
Nimekuambia hivi wewe si unamchukia kagame? Njoo basi umuondoe madarakani or shut your hole that is spewing sewage here. Dimwit. Nilishakuambia kuwa utakachoambulia kwa kumchukia raisi wetu ni kitu kimoja tu. Vidonda vya tumbo.

bora umemwambia
 
Hawa jamaa ni JASUSI la kimataifa, tena baadhi ya mafunzo ameyapatia hapa Tz. Tangu wamuue Prof. Juan Timoth Mwaikuwa aliyekuwa wakili wa utetezi wa baadhi ya watu waliohusishwa na mauaji ya kimbari huko Rwanda, inaonyesha jinsi gani pia wanavyojua kufanikisha shughuli zao za kijasusi kwa ustadi mkubwa. Hawa jamaa waliingia hadi Dar nyumbani kwa huyu Prof (RIP), wakammiminia risasi na wakaondoka bila kushikwa na yeyote.

Inamana serikali ya Tanzania imelala kwa hili au inalifuatilia.??
 
Mimi namkubali sana kagame. Ukiisaliti nchi lazima shaba ihusike. Huyu wetu si ana majina ya majangiri na wauza poda na bado wanadunda kitaa. Yenu yanawashinda mnahangaika na p.kagame.
 
Hawa jamaa ni JASUSI la kimataifa, tena baadhi ya mafunzo ameyapatia hapa Tz. Tangu wamuue Prof. Juan Timoth Mwaikuwa aliyekuwa wakili wa utetezi wa baadhi ya watu waliohusishwa na mauaji ya kimbari huko Rwanda, inaonyesha jinsi gani pia wanavyojua kufanikisha shughuli zao za kijasusi kwa ustadi mkubwa. Hawa jamaa waliingia hadi Dar nyumbani kwa huyu Prof (RIP), wakammiminia risasi na wakaondoka bila kushikwa na yeyote.


Sasa ninaamini pasipo shaka kuwa watu waliomuua Prof. Mwaikusa si wengine bali ni majasusi wa seriklai ya Kagame!!!
 
Kagame is a Major-General and not a Major. Two, there is not an inkling of evidence linking Pres Kagame to this attempted burglary - crime is rife is South Africa. Three, Gen Nyamwasa is a dangerous man who is guilty of heinous crimes. Four, Gen Nyamwasa is a traitor and in cahoots with FDLR genocidaire conniving to overthrow the legitimate government in Kigali. Let's assume that the government of Rwanda has something to do with this - so what? Which country on this Earth would not want to get rid of a traitor who is busy plotting to destabilize it? Mengine yaliyosemwa hapa ni majungu na chuki dhidi ya Kagame. Divisionists! Kuna watu hapa wanashabikia hata wasijue huyo Nyamwasa ni m-Tutsi. Mwingine anatofautisha kati ya Kayumba na Nyamwasa as if ni watu wawili tofauti.
 
Jibu hoja, kwanini ninyi watu wabaguzi tofauti na wahutu damn.....mbona hvyo!!!!!

Mkuu aliyekwambia wahutu sio wabaguzi ni nani? Kwani ubaguzi una kabila? Kubali ya kuwa kuna ubaguzi kwa baadhi ya watutsi na wahutu. Tafuta "Hutu Manifesto" uone "upendo" unaohubiriwa humo.
 
Ni kweli majasusi wa Kagame walimua Prof Juan kwasababu alikuwa akiwatetea wahutu kwenye mahakama ya kimataifa UNICTR - Arusha.Tatizo ni pale serekali ya Kikwete iliposhindwa kuichukulia hatua Rwanda walau hata kuilaumu.Kagame kuona hivyo akavimba kichwa akajua Tanzania hawana lolote akamtisha hadi Rais wa nchi.

Huyu prof alikuwa raia wa nchi gani Rwanda au Tanzania?
 
nani kawambia kagame au serikali yake inahusika na hili? nyie watu mmegeuza JF kuwa sehemu ya majungu tuu,na hii Kagame bashing humu imekuwa too much na accusations nyingi ni za kutunga tuu na hadithi za kufikirika,kuna idiot mmoja kaandika hata Kombe Kigali ina mkono,Ukwaju unajulikana ni big hater wa Kagame,acheni kujenga chuki based on lies
 
Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu. Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote ispokuwa Rwanda. Amekiri pia kuwa nyumba yake inalindwa na polisi wa A. Kusini na kuwa kilichomwokoa ni kwamba yeye hakuwepo wakati wa uvamizi huo.

My take: Nchi kama South Afrika lazima wawe na mifumo bora ya kiulinzi, inakuwaje Kagame anaweze kupenyeza watu wake na wakaenda kushambulia eneo linalolindwa namna ile?

Kumbuka alisema kwa kinywa chake kwamba wasaliti wa nchi yake hawako salama na kuwa it's a matter of time!

Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?
wewe pamoja na chokochoko zako hauko hata kwenye mawazo yake
 
kwa ujinga wako limwili minyama uzembe kama mkapa unadhani ndio afya bora? Muulize komba mateso ya mwili minyama uzembe akueleze.

Poor thinking capacity.
hii sui generis type of reaction inaonesha ulivyokerwa na kilichotamkwa. Na haikosi jf hii ina watutsi na huyu naye ni mtutsi wa masimao mkali. Huwezi ukakomaa msuli wa kumkashifu mkapa bado ukajiita mtanzania wewe. Nenda kwenu rwanda mnakoendeleza ubabe dhidi ya mataifa na raia wa nchi jirani
 
Watz wenzangu tuachane na ya Kigali. Hayatuhusu. Kuuwawa kwa mwanasheria wa Tz sio kwamba hatujui tunajua ni serikali ya kigali lakni hatuwezi kwenda vita au kulipiza kisasi juu ya mtu mmoja. Kama mwanasheria yule angetaka ulinzi kuhofia maisha yake,then hapo ingekuwa kitu kingine. Lakini katika public stage its was majambazi wamevamja case closed.
Kuhusu JK au Tanzania kuigopa Rwanda au Kigali huo ni ujinga na uwongo uliotukuka. Tunaheshimiana na kila nchi ipo tayri muda wowote kulinda interest zake. Hakuna anayetaka vita.Zipo habari za chini chini tunasikia kuhusu kagame znatoka ndani ya inner circle yake. Huzo zinafanyiwa kazi. Lazima iweleweke Tanzania haina chuki na watusi wala wahutu. Binafsi ukiniuliza mbaya central africa na east ni kagame and he should be ousted. Tanznaja hatuna papara tunafanya kazi. Nawakilisha
 
Nini cha ajabu hapo!!!???? Unapoambiwa ni operesheni za kijasusi na kama kweli ina baraka ya mkuu wa nchi basi jua watu kweli wapo kazini overtly or covertly!!!!!!!!!

Na kama anamaanisha alichosema if at all he said it basi kazi ni mbichi hiyo!!!!!!

Kulindwa is one thing, unalindwa na nani!!!!???? Ndio issue hapo na kama ni kweli inalindwa na "polisi" basi jamaa hakika atakufa ni suala la muda tu!!!!!

Na ndio maana kasema kilichomuokoa ni "absence" sababu yeye ametafsiri tukio kwa undani na uelewa wa undani wa medani, he is a general mind you!!!!!!




Kagame anatakiwa kupinduliwa na kufukuziliwa mbali as soon as possible pamoja na majarbio yake bado ajue kuwa naye siku zinahesabika maana akina Kayumba na Karegeya wana wafuasi ndani ya jeshi la Rwanda
 
Watz wenzangu tuachane na ya Kigali. Hayatuhusu. Kuuwawa kwa mwanasheria wa Tz sio kwamba hatujui tunajua ni serikali ya kigali lakni hatuwezi kwenda vita au kulipiza kisasi juu ya mtu mmoja. Kama mwanasheria yule angetaka ulinzi kuhofia maisha yake,then hapo ingekuwa kitu kingine. Lakini katika public stage its was majambazi wamevamja case closed.
Kuhusu JK au Tanzania kuigopa Rwanda au Kigali huo ni ujinga na uwongo uliotukuka. Tunaheshimiana na kila nchi ipo tayri muda wowote kulinda interest zake. Hakuna anayetaka vita.Zipo habari za chini chini tunasikia kuhusu kagame znatoka ndani ya inner circle yake. Huzo zinafanyiwa kazi. Lazima iweleweke Tanzania haina chuki na watusi wala wahutu. Binafsi ukiniuliza mbaya central africa na east ni kagame and he should be ousted. Tanznaja hatuna papara tunafanya kazi. Nawakilisha[/QUOTE


Nope, it's time to strike back at Kagame regime, is totally inconceivable to see a snake rattling at our own backyard
 
mukarasimba ati Karegeya alikufaje??
Au alijiuwa mwenyewe to seek attention!!
 
Last edited by a moderator:
una hakika gan?? facts.


Ni kosa kisheria vyombo vya usalama kuvuka mipakana kwenda kuuwa raia wa nchi jirani ndani ya nchi yake!

Alafu mpk habari wananchi wameifahamu Maana yake Ni kwamba vyombo vya usalama vya Tz viko na ushahidi Wa kutosha na serikali yetu iko kimya bila kutoa kauli zozote kwa Kigali Km walihusika Maana yake Ni kwamba wameshindwa kutulinda! Na hii Ni kinyume na katiba!

Kwahiyo Hilo swala Ni la kuangalia sn
 
mukarasimba ati Karegeya alikufaje??
Au alijiuwa mwenyewe to seek attention!!

Guys let's be serious really...u can't reach such positions katika taifa umekula maviapo ya usiri then all of a sudden ukimbilie nje na uendelee kubwabwaja utegemeee utakuwa salama. Hakuna nchi isitokuwa na taarifa za siri ikiwemo mengine ya assassination etc...na hakuna nchi ambayo ingependa taarifa zake za siri zitolewe ovyo tena na ambaye alipewa azitunze. So stop the hype about Kayumba sijui Karegeya wao wenyewe walijua hawawezi kuwa salama. This is universal...mkuu wa usalama wa Tanzania au mkuu wa majeshi hawezi kukimbilia uhamishoni aanze kusema ovyo na ategemee kuwa safe haiwezekani. Wenye kuelewa namaanisha nini najua watanielewa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom