Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema haiendeshwi kwa misingi hio ndugu hiyo ni ccm yenye misingi ya kukolimba watu
Hiyo ni kawaida ulimwenguni kote, ukiwa mfanyakazi wa idara nyeti ya inteligensia,harafu ukakimbilia ughaibuni,nchi yako lazima ikutafute ili ikuondoe usije ukamwaga siri za nchi hadharani,
Natabiri PK atakufa kifo cha risasi tena na walinzi wake kama alivyouawa kabila
Nimeishia kucheka tu!!!!!Ndio maana hapati Mwili kwa roho mbaya.
Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu. Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote ispokuwa Rwanda. Amekiri pia kuwa nyumba yake inalindwa na polisi wa A. Kusini na kuwa kilichomwokoa ni kwamba yeye hakuwepo wakati wa uvamizi huo.
My take: Nchi kama South Afrika lazima wawe na mifumo bora ya kiulinzi, inakuwaje Kagame anaweze kupenyeza watu wake na wakaenda kushambulia eneo linalolindwa namna ile?
Kumbuka alisema kwa kinywa chake kwamba wasaliti wa nchi yake hawako salama na kuwa it's a matter of time!
Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?
...kunasiri nyingine badala ya kujenga zitabomoa,amani ni muunganiko wa vitu vingi sana vizuri na vibaya...Sasa kwa nini Nyamwasa asimwage siri hadharani kabla hajauwawa?
Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu. Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote ispokuwa Rwanda. Amekiri pia kuwa nyumba yake inalindwa na polisi wa A. Kusini na kuwa kilichomwokoa ni kwamba yeye hakuwepo wakati wa uvamizi huo.
My take: Nchi kama South Afrika lazima wawe na mifumo bora ya kiulinzi, inakuwaje Kagame anaweze kupenyeza watu wake na wakaenda kushambulia eneo linalolindwa namna ile?
Kumbuka alisema kwa kinywa chake kwamba wasaliti wa nchi yake hawako salama na kuwa it's a matter of time!
Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?
Hata akifanikiwa kumuua Generali Nyamwasa, bado Kagame hawezi kuwa salama kama anavyodhania, wanaopinga uongozi wake ni wengi sana na kamwe hawezi kuwamaliza kabla hawaja mmaliza yeye.
kumbe ukiamua kuwa na akili unaweza eee !
Kaguta
Kayumba ni mwanajeshi mkubwa na mzoefu, Kwa Hali ilivyo anajua maadui wake na hasa wale Ndugu na wafuasi wa marehemu Patrick Nyamwasa amabeya sasa inaonekana aliuliwa na Kundi la Kayumba baada ya kugombania madaraka na Nyamwasa kushinda. Mpaka mauti inamkuta hawakuwa hata wakiongea. My take ni kuwa Kayumba hayupo Salama ndani ya kundi la Nyamwasa. Itakuwa nivigumu Kwa majasusi waliotumwa na serikali ya kagame kummaliza General hatari fugitive wa kijeshi na wamkose kifala hivyo na bado waingie ndani ya nyumba yake na kuharibu vyombo Vya ndani, let's think outside the box. Jamaa Anatengeneza scene ya kuishawishi serikali ya South Africa imwongeze ulinzi hasa board guards maana adui zake hapo wanamsaka kinoma. Labda anafanya mkakati wa hifadhi ya kisiasa marekani mbali kidogo na Africa. Beside that it's very hard for any CDF in any given country in the world to betray your government and live peaceful.
Hawa jamaa ni JASUSI la
kimataifa, tena baadhi ya mafunzo ameyapatia hapa Tz. Tangu wamuue Prof.
Juan Timoth Mwaikuwa aliyekuwa wakili wa utetezi wa baadhi ya watu
waliohusishwa na mauaji ya kimbari huko Rwanda, inaonyesha jinsi gani
pia wanavyojua kufanikisha shughuli zao za kijasusi kwa ustadi mkubwa.
Hawa jamaa waliingia hadi Dar nyumbani kwa huyu Prof (RIP), wakammiminia
risasi na wakaondoka bila kushikwa na yeyote.
Mataifa makubwa wamsaidie mwanawasa juu ya usalama wake kagame atamuua kama yule aliyemuua hotelini
Hata akifanikiwa kumuua Generali Nyamwasa, bado Kagame hawezi kuwa salama kama anavyodhania, wanaopinga uongozi wake ni wengi sana na kamwe hawezi kuwamaliza kabla hawaja mmaliza yeye.
sisi ametusaidia tu, kusudi ikifika wakati wa kumtoa roho, kagame muuaji wa wanajeshi wetu DRC congo, iwe rahisi kumtoa roho. kwa sasa tunawaomba marafiki zetu waache lugha ya kutupatanisha na kagame. hatuna ugomvi na wanyarwanda, tunaitaka roho ya kagame tu.