Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Unamanisha hata yule TISS wetu CHAHALI ipo siku atakufa tu ?
Hivi huyo jamaa alifanyaga nini hua namuona namuona tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamanisha hata yule TISS wetu CHAHALI ipo siku atakufa tu ?
licha ya Professor Juan Mwaikusa alimmaliza na Imran Kombe,Kagame akumbuke pua yake imeangalia chini hivyo atakufa tu siku moja maadui zake atawaacha hai , pia ajue watanzania tunajua kama alimuua mwaikusa , hatumpendi kabisa ee mungu mwangalie huyu anayekatisha uhai wa binadamu wako uliowaleta duniani
msimamo wa watanzania wenye uzalendo wa kweli, mimi sina chama chochote cha kisiasa.mkuu , huo ni msimamo wa KITAIFA au ni MSIMAMO WA CHAMA CHENU CCM ?
Hiyo ni kawaida ulimwenguni kote, ukiwa mfanyakazi wa idara nyeti ya inteligensia,harafu ukakimbilia ughaibuni,nchi yako lazima ikutafute ili ikuondoe usije ukamwaga siri za nchi hadharani,
Amerika yenyewe ikipata nafasi utasikia Snowden kakutwa amekufa hotelini.kwaiyo mimi wala si mlaumu Kagame,hana jinsi lazime ailinde nchi yake,hao waliovamia nyumbani kwa nyamwasa ni makachero wa Rwanda.Nyamwasa alijua tangu mwanzo suala kama hilo linaweza kutokea,cha kufanya ni kuchukua tahadhari,ikishindikana inabidi abadili identity apotee kabisa
You can't be serious?licha ya Professor Juan Mwaikusa alimmaliza na Imran Kombe,
hawa jamaa wamejazana hadi Ikulu licha ya UWT anawalipa kitita hasa na usipotimiza Ur Finito
Kagame akumbuke pua yake imeangalia chini hivyo atakufa tu siku moja maadui zake atawaacha hai , pia ajue watanzania tunajua kama alimuua mwaikusa , hatumpendi kabisa ee mungu mwangalie huyu anayekatisha uhai wa binadamu wako uliowaleta duniani
Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu. Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote ispokuwa Rwanda. Amekiri pia kuwa nyumba yake inalindwa na polisi wa A. Kusini na kuwa kilichomwokoa ni kwamba yeye hakuwepo wakati wa uvamizi huo.
My take: Nchi kama South Afrika lazima wawe na mifumo bora ya kiulinzi, inakuwaje Kagame anaweze kupenyeza watu wake na wakaenda kushambulia eneo linalolindwa namna ile?
Kumbuka alisema kwa kinywa chake kwamba wasaliti wa nchi yake hawako salama na kuwa it's a matter of time!
Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?
Kagame namuogopa sana ndo maana anapogombana na dhaifu napatwa na hofu sana
So stupidy unamaanisha kinara wa mauaji ama kinara wa ujasusi?
sasa mzee Mkapa umemletaje hapa., P*umbavu zako.
St*upid RWANDANS... na huyo kagame wako aje ajarib TZ aone... Tunagonga ukoo wake wote
[h=2]Rwandan
fugitives
relocate to Tanzania[/h]
Renegade army Captains, Charles Sande and Christopher Busigo, who are
wanted by the Government of Rwanda on charges of subversion, fled to
Tanzania from Uganda where they are coordinating their activities
contrary to media reports that they were kidnapped, The New Times
has learnt.
A Ugandan newspaper, The Daily Monitor, reported on Saturday,
February 8, that the two dissidents had disappeared.
We are aware of their plans. They are faking kidnap to evade
justice, an official who preferred anonymity was quoted saying.
We understand that RNC is shifting camp from Uganda to Tanzania, and
that the Kayumba Nyamwasa group is using some Ugandan journalists for
propaganda purposes, the source added.
This newspaper has also learnt that Busigo now uses a Tanzanian line;
+255712526565 to communicate with his superiors and other people.
Efforts to talk to Busigo were futile as by press time he had declined
to answer our repeated calls.
Police spokesperson, ACP Damas Gatare, also dismissed the kidnap
claims, adding that the police will ensure that all the criminal
suspects hiding in and outside the country are arrested and brought to
book. Gatare said there have been several cases where criminal suspects
faked their kidnap in order to qualify for asylum in other countries.
They include that of terror suspect, Lt. Joel Mutabazi, who is said
to have staged his own shooting in Uganda and blamed the Rwandan
government.
Others include the vice-president of a faction of PS-Imberakuri,
Alexis Bakunzibake, who recently led it into an alliance with the FDLR, a
terror group whose members are largely responsible for the 1994
Genocide against the Tutsi. He too faked his kidnap in 2012, only to
resurface some months later.
And this month, former communications secretary of the Democratic
Green Party of Rwanda, Omar Leo Oustazi, also returned to the country
after a year in exile and dismissed reports that he had been kidnapped.
He went on to accuse his former boss, Frank Habineza, of being behind
an alleged plot to have him killed and blame it on the
government.
mimi na mshauri ahamie Bongo kwasasa
Katika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu. Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote ispokuwa Rwanda. Amekiri pia kuwa nyumba yake inalindwa na polisi wa A. Kusini na kuwa kilichomwokoa ni kwamba yeye hakuwepo wakati wa uvamizi huo.
My take: Nchi kama South Afrika lazima wawe na mifumo bora ya kiulinzi, inakuwaje Kagame anaweze kupenyeza watu wake na wakaenda kushambulia eneo linalolindwa namna ile?
Kumbuka alisema kwa kinywa chake kwamba wasaliti wa nchi yake hawako salama na kuwa it's a matter of time!
Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?
...hatamaliza siku tatu anazikwa,watutsi wapo mpaka kwenye taasisi nyeti kunausalama hapo...?
huyo siku zake zinahesabika maana kwasasa hata kmabodyguard wake ni maadui wake,wale waliobaki wanaomsikiliza kwasasa wameshajua kwamba na siku zao pia zinahesabika.hawaaminiani.baada ya kifo cha Karegeya kwa sasa viongozi wengi wa Rwanda wanaishi kjwa wasiwasi mkubwa sana.Kagame yuko bize kutumia gharama kubwa kuwatafuta wenzie na kuwaua,anasahau kwamba hata yeye kuna siku huenda akafa bila gharama kubwa kutumika,na watakaomfuatia si lazima waendeshe nchi kwa misingi anayoitaka.Ni heri angetenda haki maana mwenye haki hukumbukwa daima na yale aliyosimamia kuna siku yataenziwa!Hata hivyo akizidi sana kuna siku hawa watu nao ili kujilinda watatumia gharama kumtafuta na yeye wammalize.No one is invisible under the sun.Mojawapo ya ishara za kuanguka kwa tyrant ni kutengeneza maadui wengi zaidi ya marafiki,even in his own house.