Hiyo ni kawaida ulimwenguni kote, ukiwa mfanyakazi wa idara nyeti ya inteligensia,harafu ukakimbilia ughaibuni,nchi yako lazima ikutafute ili ikuondoe usije ukamwaga siri za nchi hadharani,
Amerika yenyewe ikipata nafasi utasikia Snowden kakutwa amekufa hotelini.kwaiyo mimi wala si mlaumu Kagame,hana jinsi lazime ailinde nchi yake,hao waliovamia nyumbani kwa nyamwasa ni makachero wa Rwanda.Nyamwasa alijua tangu mwanzo suala kama hilo linaweza kutokea,cha kufanya ni kuchukua tahadhari,ikishindikana inabidi abadili identity apotee kabisa