Jenerali Kayumba Nyamwasa anusurika kifo, Kagame anazidi kumwandama?

Hivi leo mkuu wa majeshi ya Tanzania akiikimbia nchi akaenda S/Africa akaunda na kikosi Chake Cha waasi Congo,Tz itamuacha aishi?
 
Hivi leo mkuu wa majeshi ya Tanzania akiikimbia nchi akaenda S/Africa akaunda na kikosi Chake Cha waasi Congo,Tz itamuacha aishi?
Afrika inatakiwa watambue kwamba chanzo cha matatizo haya yote ni utawala wa kiimla. Kama tawala hizi za kidhalimu zitaendelea kuwepo katika bara hili la giza, akina Kagame wa leo na wajao hawatakuwa salama.
 
Kwa maisha aliyoyaishi Kagame ukimletea hizo story za sijui firauni hawezi hata kukuelewa.
Hawezi kuelewa vipi ikiwa firaun kazi yake ilikuwa kuua watoto wakiume akijua watakuja kuupinga utawala wake...! Ndiyo humo humo anapita Kagame kuua Wananchi Wanaopinga Utawala Wake
 
Hawezi kuelewa vipi ikiwa firaun kazi yake ilikuwa kuua watoto wakiume akijua watakuja kuupinga utawala wake...! Ndiyo humo humo anapita Kagame kuua Wananchi Wanaopinga Utawala Wake
Ndipo hapo Sasa utajui hujui mzee baba
 
[emoji1][emoji1] Ndio wachambuzi wetu hao wa mambo ya kiusalama.

Thread ya 2014 yeye katwanga maoni hadi ya msumbiji kapiga na maneno mawili matatu ya kiingereza basi anaona yuko deep kama kusoma tarehe tu ni shida atatueleza nini sisi
 
Thread ya 2014 yeye katwanga maoni hadi ya msumbiji kapiga na maneno mawili matatu ya kiingereza basi anaona yuko deep kama kusoma tarehe tu ni shida atatueleza nini sisi
hahah hao Ni wale watu dizaini za we weka kichwa Cha habari tu afu story ntakuja nayo mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…