Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

Kuna jamaa mtaani kwetu yupo kwenye miaka 48 anasema yeye kastaafu mwaka juzi,je nae atakuwa amefukuzwa ama niamini tu kastaafu kama alivyoniambia
Amekwambia kastaafu halafu ww unasema amefukuzwa
 
Hawa hawakuwa Makomandoo wa JWTZ wakati wanakamatwa.

Walikwishafukuzwa jeshini kwa utovu wa nidhamu.

Wakaamua kuwa Makomandoo wa mbowe na hatujui alitaka kuwatumia kwa kazi ipi.

Subirini mahakama iamuwe haki. Acheni kuwewseka ovyo mitandaoni .
Mm nakwambia hawa Jamaa kukikuwa na siri nzito sana nyuma yao.
 
Inaelekea JWTZ inathamini wanajeshi wakiwa na afya njema lakini pindi wakiumia au kupata maradhi wakiwa kazini inawatelekeza!

Amiri Jeshi Mkuu anapaswa kuangalia upya jambo hili kwani halina afya kwa ustawi wa jeshi letu.
ndo vijana wenzetu waelewe bora kukomaa tu mtaani na kazi zetu za kijungu jiko kuliko kukimbilia izo kazi unatimika kuumiza watanzania wenzako halafu ndo' kama tunayoyaona maana wakina adamoo na lingw'enya wote watoto wa wapiga kura yani wota kajamba nani unadhan mtoto wa mahita angetendewa ayo.
 
It's painful if that is what they went through and of which as per rules of law shouldn't have happened at all.
 
Yaani ulichoandika hata hakieleweki.
 
Na kinachoshangaza Bwire alikuwepo sana hapo O bay police zamani na ukiingia anga zake utakiona cha moto.
Leo anateswa yeye.
Maisha haya
 
Hawa hawakuwa Makomandoo wa JWTZ wakati wanakamatwa.

Walikwishafukuzwa jeshini kwa utovu wa nidhamu.

Wakaamua kuwa Makomandoo wa mbowe na hatujui alitaka kuwatumia kwa kazi ipi.

Subirini mahakama iamuwe haki. Acheni kuwewseka ovyo mitandaoni .

kujiajiiri kama board guard na kuwa Jambazi kipi bora au ilitakiwa wao na familia zao waFe njaaaa ; mbona yule ligumi enzi zake alikua analindwa na kama hao wannne
Mimi nafikiri kama wanapata kazi halali waachwe
Augustine Mrema enzi zake akiwa kwenye chati alikua analindwa na Capt Mohammed Posh ( ex CDO) na ndiye aliyemsaidia asife pale RaskaZone Tanga Baada ya taaa kuzimwa alimvua Mrema kibandiko akamvika mzeee mmoja alafu akamicha chini ya Meza yule mzeee walimrusha dirishani wakidhani mrema
 
Kama hao makomando ni magaidi Basi hata JWTZ nao ni magaidi.
 
So sadd brow

Kaz ngumu then unafanyiw mateso. Hii nchi kuna hatua itakuja kusimama.
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Maana yake nn Mabeyo akawe jaji au una mananisha nn bwasheee?
We Taga, hebu zinduka usijifanye hamnazo;
Jaji ndo anawatesa?
Jaji ndo aliwafukuza kazi?
Jaji ndo mkuu wa kikosi kule ngerengere?

Gen. Mabeyo anaekezwa kwa sbb yy ndiye overall incharge na commander in chief ambaye anatakiwa kujua wapi wanajeshi wake wanapitia.
 
JWTZ hawana sera ya kuwalinda watu ambao wanakuwa trained kwa kiwango cha Ukomandoo, hawa jamaa walitelekezwa na wamepitia wakati mgumu mno.
Jeshi kwa ujumla halina business na ww ukishakuwa discharged from service.
Hawatelekezwa ila ni taratib za jeshi
 
Ndio kuna Sheria, hizo Sheria zao hazijali Haki ??? Yaan kumfukuza MTU bila kumpa barua??? Wala Mafao yake aloyatumikia muda wote huo!!!?.
Ukifukuzwa kaz hakuna mafao. Kwa sheria za nchi hii. Mafao wanapata walio staafishwa period
 
Inaelekea JWTZ inathamini wanajeshi wakiwa na afya njema lakini pindi wakiumia au kupata maradhi wakiwa kazini inawatelekeza!

Amiri Jeshi Mkuu anapaswa kuangalia upya jambo hili kwani halina afya kwa ustawi wa jeshi letu.
Majeshi yote yako hivyo. Ukipata shida ya kiafya ambayo wanaona itakuziia kuweza kutekeleza kaz za kijeshi wana ku discharge. Au unapangiwa idara zisizo na pyhsical activity nzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…