Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?


Acha kupotosha hao ni raia kitendo cha luwahusisha na jeshi au kuwaita majina ya ngazi wslizokuwa wamepewa jeshini kabla ya kufukuzwa kazi ni upotoshaji mkuu. walikwisha fukuzwa siku nyingi hata kabla ya kushtakiwa kwa tuhuma zinazoeakabili. Hapo mkuu wa majeshi anahusika vipi na raia? Wenye control kwao sasa ni viongozi wa serikali ya mtaa, nzengo , ukoo wake na ndugu zake
 
kufukuzwa kazi ni upotoshaji mkuu. walikwisha fukuzwa siku nyingi hata kabla ya kushtakiwa kwa tuhuma zinazoeakabili
tunahoji namna ya kufukuzwa kwao, je misingi ya utumishi wa JWTZ ulifuatwa, shahidi anasema hata barua ya kuachishwa kazi hajapewa, stahiki hata mia hajapewa - mtu ambaye kalitumikia taifa hadi kimataifa - hii si haki kabisa na cha zaidi si ajabu hata huo ugonjwa wa akili ulitokana na mafunzo yao pamoja na utekelezaji wa majukumu yao.

Sababu wakati wanaanza jeshi kawaida walipimwa afya, kama wangekuwa na ugonjwa huo wasingepokelewa na jeshi. JWTZ huwa halipokei wagonjwa.
 
Inaumiza sana.mafunzo waliyopitia ni magumu sana na kazi zao ni ngumu sana hata hawapati fursa ya kuwa na familia.
 
Ni dhahiri Kingai ndiye kiongozi mkuu wa Wasiojulikana, ndiyo maana alikuwa na kiburi hata dhidi ya IGP.
 
Kiufupi askari wa cheo cha chini ni umbwa tu hawana haki wala hawatetewi ila likifika swala la masahibu na vita wanaonekana lulu, kwa sasa majenerali na mameja na makanali ndio wanaonekana wa maana ila hili ni bomu ambalo wanalitengeneza wenyewe kwa kuendekeza sisasa za maji taka
 
Kuandamana jeshini ni uhaini . Kuna njia za kudai haki huko jeshini uache maneno mengi
kule kilakitu ni uhaini,sheria zao ni ngumu sana,ukifuga ndevu nalo ni kosa na linaweza likakufukuzisha kazi
 
watu wanachojadili kule kuondolewa kwao kwa kukutwa na matatizo ya akili ndio sababu iyo,je walishindwa kuwatibia,sawa wanaumwa basi wangeweza kuwapa kazi ambazo zinaendana na vile walivyo na sio kufukuzwa,sawa u8memfuka je unategemea uko mtaani ataishije
 
Pia ina onesha udhaifu Makomandoo na wanajeshi wa tz ni mdebwedo tu
kumbuka waliowakamata walikuwa zaidi ya mmoja,wewe angalia hata wakiwa wanaenda mahakamani,pingu mkononi wote na escort yao ni tofauti na wale wanaoshitakiwa kwa wizi wa kuku mtaani
 
Daaah inasikitisha sana
 
Mkuu mwenyewe anateuliwa na mwanasiasa inafikiriwa sana
 
Hakuna mtu yoyote mwenye ajira rasmi ya serikali atafukuzwa kazi kwa sababu ya ugonjwa. Watu hufukuzwa kazi kwa vitendo ambavyo ni kinyume na sheria kwa mujibu wa sheria za ajira mtu akiugua kazini na baada ya kupewa likizo mbalimbali za matibabu na kuona haiwezekani kupona au kutekeleza tena wajibu wake hustaafishwa kwa heshma na kulipwa haki zake zote na sii kufukuzwa kazi. Jeshi lina mahakama yake na hawamafukuzi mtu kabla ya kumsikiliza, haya anayoyasema kwamba ni kichaa ni ili jamii imuone kwamba hana tatizo lakini ni deffence ambayo haisaidii chochote. Kma ni kichaa basi chadema waliajiri mwehu na hata anayoyaongea sii ya mtu mwenye akili timamu
 
Hee kumbe mtani mzito hivyo
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…