Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

Tukiwa hatuna matumizi na wewe tunakutupa, hatuangalii gharama tulizotumia kukujenga
 

Sasa kama jeshi linaitisha press kulalamikia matapeli unategemea nini? Kwa sasa jeshi linawajibika kwa ccm zaidi kuliko nchi. Kunafanyika chaguzi za aibu ndani ya nchi, jeshi liko kimya na kuona sawa ili mradi ccm wanatangazwa washindi. Ukakamavu wa jeshi unaonekana zaidi wanapotishia raia wasio na silaha wala mafunzo ya kikakamavu. Tuombe tu vita isitokee maana itakuwa aibu. Nilijiuliza Kagame alijiamini nini kumtishia JK wakati ule, kumbe anajua siri ya urembo. Isije ikawa udhaifu uliopo kwenye taasisi nyingine za umma, upo na jeshini pia.
 
Hii kesi imetujulisha mengi sana,kumbe jeshini ukipata matatizo na lako halipo unapigwa chini bila msaada.
 
Ukiona jeshi linafurahia na kumshukuru Rais kwa teuzi za kiraia jua hakuna jeshi kiufupi raia sisi tupambane wenyewe kwa sasa CCM imekamata idara zote kwani hata hao wakubwa jeshin hupanda vyeo kwa ukada na bila shaka kadi wanazo.
 
Hizi mada zinaletwa kishabiki mno bila kujua shina lake,hawa wanajeshi walishafutwa ajira,wangekua kazini kuna utaratibu wa ukamatwaji waje,hawa ni raia wenzetu,kingine mfano umemkamata jambazi unataka akuonyeshe silaha kaficha wapi,utambembeleza akuambie alikoificha au utatumia nguvu ili kupata information unazotaka?,hii system ya kutumia nguvu iko duniani kote ndio maana hata CIA wana black cell huko ndio shuguli ya kuextract information hufanyika,usitegemee kupata information kwa mtu trained kirahisirahisi
 
Jeshi haliajiri watu wanaandikisha tu hizo haki za mwajiriwa hazifanyi kazi jeshini
 
Ccm ni ile ile ,Ccm ni kla kitu kwenye hii Nchi ata uyo unaeongea nae na kutaka msaada weke ni Ccm na anaingia ktk baazi ya Vikao vya Ccm sizan km utapata msaada ,

Msaada mkubwa Ni wananchi nazan Chadema mnetumia nguvu nying kuongea na kuwashawishi wananchi tena ana kwa ana sio hii ya mitandaoni ingewasaidia sana na mngepata msaada mkubwa sana

Mtaani wananchi walio weng hawajui na hawafuatilii kesi ya mbowe nazan mngerudi mtaani muongee na wananchi na muwaeleze wangeweza kuwasaidia ila Wazungu, JWTZ na NGO’s haziwez wasaidia kwa lolote
 
Ipo siku utatamani kumeza haya maneno.
Kama walisitiriwa vyeti feki majeshini,Vivyo hivyo hata waliougua au kufukuzwa jeshini ingetafutwa njia mbadala yakuwahifadhi kuliko hii sintofahamu.
 
Wengine hawajulikani walipo kama Komandoo Moses.
Hii nchi imeoza kabisa,intelijensia inaruhusu vipi komandoo kuongea mambo mazito ya nchi hadharani?
Komandoo Anapata PTSD(post trauma syndrome desease),harafu anadhulumiwa haki zake anafukuzwa kazi kikatili,hapo Kuna watu weishayamezea mate mafao yake.
Wanajeshi kama Hawa ndio huwa wanakuwa recruited na foreign intelijence service,wanauza Siri zote za nchi!!wanazozijua.
 
Niliona sehemu huko Marekani highly trained soldiers kama hawahitajiki jeshini kwasababu yoyote hupangiwa majukumu kwenye majeshi mengine. Bora hao wangepelekwa ku train FFU kuliko kuwatelekeza bila kujua wanachofanya at that early age.
Sasa mtu mgonjwa wa akili utampa kazi gani?
 
So hata wale ambao wapo kazini wajifunze kwa wanayoyapitia wenzao? Kwamba wakitoka kazini hawana thamani tena? Wakapambane na haki zao wakitoka kazini? 😊 Majibu ya kip, uzi sana hayo
Kwani ni kila askari wa jwtz anaestaafu au kufukuzwa kazi anatendewa hayo waliyotendewa hao ex commandos?
Hao wamejiingiza kwenye vitendo viovu ndiyo maana yamewakuta hayo yaliyowakuta.
 
Kwani ni kila askari wa jwtz anaestaafu au kufukuzwa kazi anatendewa hayo waliyotendewa hao ex commandos?
Hao wamejiingiza kwenye vitendo viovu ndiyo maana yamewakuta hayo yaliyowakuta.
Vitendo vipi. Vitaje hapa na uweke uthibitisho wako.
 
Haongelei Sasa , anaongelea jinsi walivyotoka. Kwamba walitoka kwa magonjwa ya kisaikolojia lakini jeshi halikiwajali. Yani makomandoo walitelekezwa na jeshi kiss ugonjwa unaotokana na Vita
Hao jamaa sio ugonjwa tu umewaondoa huko,walikua na misala kibao,jeshi lina namna ya kudili na watu wagonjwa ambao hawako fit kuendelea na jeshi.mfano ba mdogo wangu mimi alikua mwanajeshi na bahati nzuri alikua huko kwenye mission congo,alivyorudi akapata ugonjwa flani uliomlazimu kuacha kazi,jwtz wamemtibu na mpaka leo anaendelea kutibiwa free pale lugalo ingawa sio mwanajeshi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…