Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana na masuala ya siasa.

Jenerali Mkunda alitoa wito huo wakati wa gwaride la kuwaaga majenerali 17 waliostaafu, lililofanyika katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo, jijini Dodoma.


Your browser is not able to display this video.
 
Ngoja nitunze risiti hii kwa matumizi ya mbele ya muda ujao.
 
Hiki kijamaaa ni cha ovyoooooo.

Hapo kimeshiba pesa za Abdul, na Samia, kimeua maelfu ya watu kulinda mwanasiasa huyo huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…