Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

Brigedia jenerali mstaafu Francis Bernard Mndolwa azungumzis hali ya kisiasa nchini


View: https://m.youtube.com/watch?v=tCl8HGxzHsU

Brig.Gen mstaafu Mndolwa azungumzia hali ya kisiasa hususan za vyama vingi, demokrasia ...na siass za vyama vingi hasa kuanzia 1995 watu wa CCM wanachukiana upande mwingine iwe CHADEMA, TLP na vyama vingine vingi ... hoja za kisiasa zinaenda kwa kutumia nguvu ....badala ya ushawishi ...
 
..badala ya kuwaambia Senior Officers waliostaafu sasa wako huru kushiriki active politics, yeye anawaambia wajiepushe na siasa?!

..kwa kweli nchi hii inaihitaji mabadiliko makubwa sana ktk mitizamo haswa kwa hawa wenye nyadhifa kubwa kubwa.
Wakisema SIASA huwa wanamaanisha vyama vya upinzani.
Wakisema wajikite kwenye shughuli za MAENDELEO wanamaanisha wajihusiahe na CHAMA TAWALA.
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana na masuala ya siasa.

Jenerali Mkunda alitoa wito huo wakati wa gwaride la kuwaaga majenerali 17 waliostaafu, lililofanyika katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo, jijini Dodoma.


10 Julai 2026
Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa
MMUT Kikombo
Dodoma.
Tanzania

Majenerali Wastaafu Wasihangaike na Siasa na Mambo Mengine CDF Mkunda Atoa Wito


View: https://m.youtube.com/watch?v=J8zFGjpC8OU


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Jacob John Mkunda, leo tarehe 10 Julai 2026, amewaongoza Maafisa na Askari kuwaaga jumla ya Majenerali 17 ikiwa Mameja Jenerali watano (5) na Mabrigedia Jenerali 12 waliostaafu Utumishi jeshini kufikia mwezi Juni 2026

1783704827811.jpeg

Maafisa Jenerali 17 walioagwa katika hafla hiyo ya kipekee 2026 ni wafuatao :
  1. Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee,
  2. Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli,
  3. Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka,
  4. Meja Jenerali Charles Peter Feruzi,
  5. Meja Jenerali Julius Moses Gambos.

    Upande wa Mabrigedia Jenerali walioagwa ni
  6. Brigedia Jenerali Mohamed Juma Mwakalikene,
  7. Brigedia Jenerali Omari Hamisi Majini,
  8. Brigedia Jenerali Anina Jonas Mkinga,
  9. Brigedia Jenerali Masele Alfred Machanga,
  10. Brigedia Jenerali Anchila Steven Kagombola,
  11. Brigedia Jenerali Method Kamugisha Matunda,
  12. Brigedia Jenerali Selemani Bakari Gwaya,
  13. Brigedia Jenerali Wema Laini Senzia,
  14. Brigedia Jenerali Kamandaz Makanya Erassy,
  15. Brigedia Jenerali Stanley Nathaniel Mjelwa,
  16. Brigedia Jenerali Ismail Shajack Ismail, na
  17. Brigedia Jenerali Charles Emilio Mwanziva.

Shughuli hiyo ya kuwaaga majenerali 17 imefanyika katika viwanja vya kwata vya Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa MMUT Kikombo mkoani Dodoma nchini Tanzania .

Mara baada ya shughuli hiyo, Mkuu wa Majeshi CDF Jacob John Mkunda ametoa rai kwa Majenerali hao wastaafu kwamba kustaafu ni heshima hivyo amewataka Kwenda uraiani kuendelea na maisha ya kawaida huku akiwaasa kutokujihusisha na siasa kwani Jeshi na Serikali kwa ujumla bado inaamini wanao mchango mkubwa wa kutoa kwa maslahi mapana ya Nchi.

Shughuli hiyo ilitamatishwa kwa Majenerali wastaafu kusindikizwa kwa kusukumwa kwenye magari maalum kuelekea geti la kutokea na kisha kuresha vitambulisho vyao vya kazi vya kudumu vya JWTZ na kisha Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob John Mkunda kuwakabidhi vitambulisho vya kustaafu
 
Utumishi uliotukuka wa balozi Meja Jenerali mstaafu Ramson Godwin Mwaisaka

TOKA MAKTABA :
2024 August 23
Kigali, Rwanda

Balozi wa Tanzania nchini hapa (Rwanda), Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka,

View: https://m.youtube.com/watch?v=C3pbRb1wLFw
leo ametutembelea kwenye mazoezi ya mwisho na kuwatakia kila la kheri wachezaji wetu kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya wenyeji APR.
 
Utumishi uliotukuka wa balozi Meja Jenerali mstaafu Paul Kisesa Simuli. Rais wa jamhuri ya Uganda jenerali mstaafu Yoweri Kaguta Museveni amwagia sifa kibao balozi wa Tanzania aliyemaliza muda wake wa kuiwakilisha Tanzania nchini Uganda

26 June 2026
Entebbe, Uganda

President Museveni Bids Farewell To Outgoing Tanzanian Envoy, Pledges Faster Regional Infrastructure Development​

1783706082489.jpeg



President Yoweri Kaguta Museveni has praised the outgoing Tanzanian High Commissioner to Uganda, Maj. Gen. Paul Kisesa Simuli, for strengthening the long-standing ties between Uganda and Tanzania during his diplomatic tour of duty.

The President made the remarks today during a farewell courtesy call by the envoy at State House, Entebbe where the two leaders reflected on the enduring friendship between the neighboring East African nations and reaffirmed their commitment to deepening regional integration.

President Museveni congratulated Maj. Gen. Kisesa, upon the successful completion of his two-and-a-half-year tour of duty in Uganda, commending him for his contribution to fostering cordial bilateral relations.

He noted that Uganda and Tanzania have enjoyed a brotherly relationship for decades, rooted in a shared history, common aspirations, and cooperation within the East African Community.

The President emphasized that the two countries would continue working together to strengthen economic cooperation, particularly through improved infrastructure that enhances regional trade and connectivity.

As part of this commitment, President Museveni pledged to fast-track the construction of the Masaka–Mutukula Road, a key transport corridor linking Uganda to Tanzania, saying the project would boost cross-border trade and further accelerate regional integration.

President Museveni Bids Farewell To Outgoing Tanzanian Envoy - State House Entebbe - 29-Jun-2026

Maj. Gen. Kisesa, in turn, congratulated President Museveni on earning another mandate to lead Uganda, saying the confidence placed in him by Ugandans reflects their trust in his leadership.

The outgoing envoy also applauded the country’s rapid socio-economic transformation, noting that Uganda has made remarkable progress across various sectors over the past few years.

“For someone who has taken a long time to visit Uganda, one can be amazed. The development is very fast, and Uganda will be different with the current speed of development,” Ambassador Kisesa said.

He recalled that he first visited Uganda in 2022 while attending a study tour at the Senior Command and Staff College (SCSC)- Kimaka, and was struck by the significant changes he witnessed upon returning as Tanzania’s High Commissioner in 2024.

“I found a totally different country. Congratulations, Your Excellency, upon this development,” he told President Museveni, citing the extensive improvement in the country’s road infrastructure as one of the most visible signs of progress.

The Tanzanian diplomat further commended Uganda for its petroleum discoveries, describing the resource as a strategic asset whose benefits will extend beyond Uganda’s borders.

He said the oil and gas sector has the potential to spur economic growth not only in Uganda but across the East African region through increased investment, energy security, and regional cooperation.

Uganda and Tanzania continue to enjoy close diplomatic, economic, and security relations, with both countries collaborating on major regional infrastructure projects, including the East African Crude Oil Pipeline (EACOP), as well as initiatives aimed at enhancing trade, transport, and regional integration.


President Museveni Bids Farewell To Outgoing Tanzanian Envoy - State House Entebbe - 29-Jun-2026



TOKA MAKTABA:
2023

Ambassador Maj. Gen. Paul K. Simuli. Tanzania high commissioner to Uganda, Kampala

2023
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli Kuwa Balozi,Kabla ya uteuzi huu Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini-JWTZ

1783705733002.jpeg
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana na masuala ya siasa.

Jenerali Mkunda alitoa wito huo wakati wa gwaride la kuwaaga majenerali 17 waliostaafu, lililofanyika katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo, jijini Dodoma.

Ma jenerali 17 waliostaafu, hivi unajua cheo cha jenerali jeshini ?
 
..badala ya kuwaambia Senior Officers waliostaafu sasa wako huru kushiriki active politics, yeye anawaambia wajiepushe na siasa?!

..kwa kweli nchi hii inaihitaji mabadiliko makubwa sana ktk mitizamo haswa kwa hawa wenye nyadhifa kubwa kubwa.
Umestaafu halafu,unaelekezwa maisha ya uraiani!
 
Back
Top Bottom