Jenerali Mkunda: Wastaafu JWTZ Epukeni Siasa

..badala ya kuwaambia Senior Officers waliostaafu sasa wako huru kushiriki active politics, yeye anawaambia wajiepushe na siasa?!

..kwa kweli nchi hii inaihitaji mabadiliko makubwa sana ktk mitizamo haswa kwa hawa wenye nyadhifa kubwa kubwa.


Kwani sheria zinasemaje kuhusu utumishi wao ndani ya jeshi, na baadae nje kama wastaafu?

Ipo siku atatokea Gen Dwight D. Eisenhower...na Collin Powelll
 
Anajua wataishia kwenye siasa za upinzani tu!

Shida ipo wapi?

Kama wanateuliwa kuwa RCs&DCs wakiwa kazini nyadhifa ambazo zinawafanya wawe wenyeviti wa kamati za siasa za CCM mkoa na wilaya.
 
Kuna mambo mengine huwa yanachosha akili kuyajadili
huyu nkunda ni pimbi yeye mwenyewe yupo pale kwa cheo hicho kisiasa

Yupo pale kulinda maslahi ya chama na ameteuliwa na mwanasiasa bi chura
Yeye sio mwanajeshi ni mwanasiasa!
 
Jamaa smart Sana !
 
Kamanda kuna kitu kasahau kidogo maana maafisa wastaafu wa kijeshi wengi wako CCM wanatumika kwa njia na ngazi mbali mbali (Ubunge, Uwaziri, DC, RC, waenezi wa itikadi etc)
 
Sijui huyu Mkunda aliyekuwa mcheza mpira amefikaje hapo alipo.
Hawezi kufikiri kile anachosema.
 
Kwani sheria zinasemaje kuhusu utumishi wao ndani ya jeshi, na baadae nje kama wastaafu?

Ipo siku atatokea Gen Dwight D. Eisenhower...na Collin Powelll

..wakistaafu wana ruhusa ya kushiriki active politics.

..Major General Marco Mwita Marwa aliwahi kujiunga na Chadema kabla Mkapa hajambembeleza arudi Ccm.

..Major Hassy Kitine, Mkuu wa usalama wa taifa mstaafu, aligombea ubunge wa Makete kupitia Ccm.

General Robert Mboma, Cdf mstaafu, aliomba ridhaa ya Ccm kugombea ubunge baada ya kustaafu.

..Brig Gen Hassan Ngwilizi alikuwa mbunge na Naibu Katibu Mkuu wa Ccm.

..Brig.Gen, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhani, alijiunga na Ccm baada ya kustaafu, na kuomba ridhaa kugombea Uraisi kupitia chama hicho.

..Hivi General Mkunda anajua sheria na taratibu za nchi hii kuzidi watajwa hapo juu?
 
Na yeye huyo Generali ni MKVNDV tu kama jina lake....Yeye ndiyo kinara wa kuleta siasa kwa kupokea maelekezo ya wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…