..wakistaafu wana ruhusa ya kushiriki active politics.
..Major General Marco Mwita Marwa aliwahi kujiunga na Chadema kabla Mkapa hajambembeleza arudi Ccm.
..Major Hassy Kitine, Mkuu wa usalama wa taifa mstaafu, aligombea ubunge wa Makete kupitia Ccm.
General Robert Mboma, Cdf mstaafu, aliomba ridhaa ya Ccm kugombea ubunge baada ya kustaafu.
..Brig Gen Hassan Ngwilizi alikuwa mbunge na Naibu Katibu Mkuu wa Ccm.
..Brig.Gen, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhani, alijiunga na Ccm baada ya kustaafu, na kuomba ridhaa kugombea Uraisi kupitia chama hicho.
..Hivi General Mkunda anajua sheria na taratibu za nchi hii kuzidi watajwa hapo juu?
Sijui huyu Mkunda aliyekuwa mcheza mpira amefikaje hapo alipo.
Hawezi kufikiri kile anachosema.
Halafu Mkunda anasema wajikite katika sughuli za maendeleo na siyo siasa! Ni kwamba haelewi kwamba siasa ni 'pre-cursor' ya maendeleo. Majenerali wataepuka vipi siasa ikiwa kila wanapolala na kula ni matokeo ya siasa..badala ya kuwaambia Senior Officers waliostaafu sasa wako huru kushiriki active politics, yeye anawaambia wajiepushe na siasa?!
..kwa kweli nchi hii inaihitaji mabadiliko makubwa sana ktk mitizamo haswa kwa hawa wenye nyadhifa kubwa kubwa.
Halafu Mkunda anasema wajikite katika sughuli za maendeleo na siyo siasa! Ni kwamba haelewi kwamba siasa ni 'pre-cursor' ya maendeleo. Majenerali wataepuka vipi siasa ikiwa kila wanapolala na kula ni matokeo ya siasa
Jenerali Mkunda anawaambia wasishiriki siasa kwa maana kwamba wasigombe hata udiwani, Ubunge na Urais
Hawa Majenerali ni maafisa wa juu walio command sehemu ya jeshi, kuwatumia katika shughuli za siasa ni tija !
Mkunda anasahau kwamba akina Sirro ni wanasiasa sasa hivi lakini anawaasa wa JWTZ wakalale
Mkunda hatambui kwamba Mabalozi wanaoteuliwa na Rais kutoka Jeshini wanafanya kazi za siasa!
Mkunda ana 'fear of unknown'' . Yaani ana hofu ya kitu asichojua!. Nimesikitika sana !
..wakistaafu wana ruhusa ya kushiriki active politics.
..Major General Marco Mwita Marwa aliwahi kujiunga na Chadema kabla Mkapa hajambembeleza arudi Ccm.
..Major Hassy Kitine, Mkuu wa usalama wa taifa mstaafu, aligombea ubunge wa Makete kupitia Ccm.
General Robert Mboma, Cdf mstaafu, aliomba ridhaa ya Ccm kugombea ubunge baada ya kustaafu.
..Brig Gen Hassan Ngwilizi alikuwa mbunge na Naibu Katibu Mkuu wa Ccm.
..Brig.Gen, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhani, alijiunga na Ccm baada ya kustaafu, na kuomba ridhaa kugombea Uraisi kupitia chama hicho.
..Hivi General Mkunda anajua sheria na taratibu za nchi hii kuzidi watajwa hapo juu?
Kwa nini waachane na siasa wakati wamestaafu?
JK, Lubinga, Siro na wengine wengi mbona hawajaachana na siasa??

Mbona wanateuliwa Kila uchwao kwenye siasa? Ukuu wa mikoa / wilaya na wapo wengi tu, wakatae teuzi?Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali John Jacob Mkunda amewataka wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutumia kipindi chao cha kustaafu kujikita katika shughuli za maendeleo na kuachana na masuala ya siasa.
Jenerali Mkunda alitoa wito huo wakati wa gwaride la kuwaaga majenerali 17 waliostaafu, lililofanyika katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo, jijini Dodoma.
Luteni jenerali T.Kiwelu (R.I.P) Mkuu wa mkoa (nafasi ya kisiasa)..wakistaafu wana ruhusa ya kushiriki active politics.
..Major General Marco Mwita Marwa aliwahi kujiunga na Chadema kabla Mkapa hajambembeleza arudi Ccm.
..Major Hassy Kitine, Mkuu wa usalama wa taifa mstaafu, aligombea ubunge wa Makete kupitia Ccm.
General Robert Mboma, Cdf mstaafu, aliomba ridhaa ya Ccm kugombea ubunge baada ya kustaafu.
..Brig Gen Hassan Ngwilizi alikuwa mbunge na Naibu Katibu Mkuu wa Ccm.
..Brig.Gen, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhani, alijiunga na Ccm baada ya kustaafu, na kuomba ridhaa kugombea Uraisi kupitia chama hicho.
..Hivi General Mkunda anajua sheria na taratibu za nchi hii kuzidi watajwa hapo juu?
Huyu jamaa naona kichwani kwake kuna matatizo makubwa...badala ya kuwaambia Senior Officers waliostaafu sasa wako huru kushiriki active politics, yeye anawaambia wajiepushe na siasa?!
..kwa kweli nchi hii inaihitaji mabadiliko makubwa sana ktk mitizamo haswa kwa hawa wenye nyadhifa kubwa kubwa. katika uc
Sasa fikiria huyo ni CDF.. hao wengine wanaupeo gani?!..badala ya kuwaambia Senior Officers waliostaafu sasa wako huru kushiriki active politics, yeye anawaambia wajiepushe na siasa?!
..kwa kweli nchi hii inaihitaji mabadiliko makubwa sana ktk mitizamo haswa kwa hawa wenye nyadhifa kubwa kubwa.
Angekuwa muwazi tu, aseme bayana kuwa wasijihusishe na siasa za upinzani.Watajiepusha vipi ikiwa Rais anawateua kuwa ma RC na DC?
Kwa kadri ya uelewa wa haraka tu, huwezi kulamba hizo teuzi pasipo kuwa kada mtii kwa CCM.
Hawa wastaafu wapya keshokutwa watajaza Mkeka wa Ma- RC na Ma- DC...badala ya kuwaambia Senior Officers waliostaafu sasa wako huru kushiriki active politics, yeye anawaambia wajiepushe na siasa?!