Jenerali Muhoozi Kainerugaba atembelea Shamba la Rais Paul Kagame na kupewa Zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo

Script zao ni za kitoto sana. Movie inaanza tu unajua mwisho wake.

Museveni katumia nguvu nyingi sana kumuandaa mtoto wake Muhoozi kwa ajili ya kumrithi.

Kagame nae anamwandaa mwanae Ivan kuja kurithi kiti chake.

Anyways, ni bora wafanye hivyo, maana Afrika ukitoka bila mipango utaishia lupango au uhamishoni c.c Dos Santos wa Angola
 
Hata huku raisi yako ajaye ni hao hao, mwinyi, Karume, JK etc wana chance kubwa sana ya kuwa future President, maji hufuata mkondo boss hata US mambo ni hayo hayo Bush and son and almost mke wa Clinton awe Raisi, ni maisha tuu pambana na wewe
 
Afadhali huku kwetu.... bado kuna nafasi ya kupambana. Wanachofanya wenzetu ni ufalme wa wazi wazi; imagine Kikwete angebaki madarakani mwaka 2015, akisubiri kuja kumpa urais Ridhiwani mwaka 2030! Nadhani hata CCM wangemgomea
 
Museveni anajipanga..waganda wajiandae kumpokea muhoozi kama raisi wao ajaye.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukiondoa Wamasai. Tutsi Rwanda, Dinka south Sudan, Hamer southern Ethiopia na Fulani west Africa, central Africa hadi western Sudan ndio makabila yanayothamini mifugo ya ng'ombe Africa kuliko kitu chochote toka jadi enzi na enzi.
 
Hivi yule Ivan ataweza kweli?
 
Ukiondoa Wamasai. Tutsi Rwanda, Dinka south Sudan, Hamer southern Ethiopia na Fulani west Africa, central Africa hadi western Sudan ndio makabila yanayothamini mifugo ya ng'ombe Africa kuliko kitu chochote toka jadi enzi na enzi.
Wasukuma wanakaa wapi?
 
Nadhani origin ya hawa watu zamani itakuwa wameishi(ancestral land) maeneo yasiyokuwa na rutuba na kusupport kilimo,(horn of Africa)
Na wengi walikuwa Nomads,
Ni wabantu wachache Sana wanafagilia kufuga mifugo Kwa wingu Sababu ancestral land zao zilikuwa zinasupport kilimo na permanent settlements.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…