Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nimesema kuwa Kuanzia Brigadier General hadi General nikiwa na maana ya kwamba kuna ngazi baina yake, kwa hiyo hiyo list unayoniwekea hapoo juu sijui una maana gani.Uko sawa ila iko hizi
1. Brigadier General
2. Major General
3. Luteni Generar
4. General - ambayo hii inakuwa kavu akitambulika kama Mkuu wa Majeshi
General siyo mkuu wa majeshi; ni Tanzania tu ambako cheo cha General kimeachwa kuwa cha mkuu wa majeshi tu. Nchi kama Israel haina General kabisa bali cheo cha mwishio na mkuu wa Majeshi ni Lt. General, na kwa nchi kama Marekani ina Generals zaidi ya 50 na mkuu wa majeshi ni General mmojawapo wao. Wote hawa kwenye picha ni Generals, je wote ni wakuu wa jeshi?