Jenerali Muhoozi Kainerugaba atembelea Shamba la Rais Paul Kagame na kupewa Zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo

Kwanini katika majina yote matatu ya kijana wa museveni huwezi kukutana na majina ya baba yake yaani yoweri kaguta museveni?

Muhoozi Kainerugaba​

 
Inyambo!!??Mama tangu ni Mnyambo wa karagwe!!Sasa nitamuuliza kumbe wanyambo ni Mang'ombe !!?aiseh makabila haya!!!??
Hizo ng'ombe huenda zilifugwa na wanyambo na sio kuwa wao ndo mang'ombe. Kuna ng'ombe zinaitwa tarime kwahiyo unataka useme tarime hakuna watu Ni mang'ombe?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mawazo yako hayawezi kutokea.
Ni sawa na kuwaza uende benk ukute watu wamelala na milango ipo wazi
ivi kwa mfano Ng'ombe wakipandisha ukichaa wakavamia wapambe wa Rais na Rais mwenyewe inakuaje apo !!
 
Mtoto wa nje ya ndoa
Kwanini katika majina yote matatu ya kijana wa museveni huwezi kukutana na majina ya baba yake yaani yoweri kaguta museveni?

Muhoozi Kainerugaba​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…