Jenerali Muhoozi Kainerugaba atembelea Shamba la Rais Paul Kagame na kupewa Zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo

Uko sawa ila iko hizi
1. Brigadier General
2. Major General
3. Luteni Generar
4. General - ambayo hii inakuwa kavu akitambulika kama Mkuu wa Majeshi
Nimesema kuwa Kuanzia Brigadier General hadi General nikiwa na maana ya kwamba kuna ngazi baina yake, kwa hiyo hiyo list unayoniwekea hapoo juu sijui una maana gani.

General siyo mkuu wa majeshi; ni Tanzania tu ambako cheo cha General kimeachwa kuwa cha mkuu wa majeshi tu. Nchi kama Israel haina General kabisa bali cheo cha mwishio na mkuu wa Majeshi ni Lt. General, na kwa nchi kama Marekani ina Generals zaidi ya 50 na mkuu wa majeshi ni General mmojawapo wao. Wote hawa kwenye picha ni Generals, je wote ni wakuu wa jeshi?

 
Mkuu wa majeshi marekani nae ni general ila ana madaraka ama cheo kiitwacho "Chairman of chiefs of staff"

Mostly wanatoka US army

Majeshi ya marekani

Us Army
Marine corps
Airforce
Space force
Coasta guards

Kule kwa wenzetu hizo ni full forces sio commands kama huku kwetu(naomba kusahihishwa)
 

Umesema General siyo mkuu wa majeshi bali ni Tanzania tu, sasa mimi nimefanya reference ya Tanzania sijui wewe ulitaka nifanye ya Ukraine?
 
Umesema General siyo mkuu wa majeshi bali ni Tanzania tu, sasa mimi nimefanya reference ya Tanzania sijui wewe ulitaka nifanye ya Ukraine?
Kwani Muhoozi ni wa Tanzania? Halafu majina ya vyeo vya kijeshi siyo ya Tanzania tu.
 
Sielewei unajibu nini kwani mimi nilimjibu aliyesema kwa cheo cha General ndiye mkuu wa Majeshi. Nikasema General siyo lazima awe mkuu wa majeshi, Marekani ina mageneral wengi ambao siyo wakuu wa majeshi;

Mkuu wa majeshi Marekani hatoki Army bali anateuliwa na Rais kutokea ndani ya jeshi la Marekani ambalo lina units kadhaa zikiwemo ulizotaja. Michael Mullen aliteuliwa na Bush kutokea Navy. Jeshi la Marekani ni kubwa sana kiasi kuwa organization yake nayo ni complex kidogo, tusiiongelee muundo wa jeshi la Marekani bali kubali kuwa Cheo cha General hakina maana ya mkuu wa majeshi, ingawa mkuu wa majeshi ni lazima awe na ceho cha General.
 
Ok
 

Sasa hapo utoto wao uko wapi?
 
Kwanini katika majina yote matatu ya kijana wa museveni huwezi kukutana na majina ya baba yake yaani yoweri kaguta museveni?

Muhoozi Kainerugaba​

Kitendawili hicho.
 
Ukiondoa Wamasai. Tutsi Rwanda, Dinka south Sudan, Hamer southern Ethiopia na Fulani west Africa, central Africa hadi western Sudan ndio makabila yanayothamini mifugo ya ng'ombe Africa kuliko kitu chochote toka jadi enzi na enzi.
Wasukuma umewaacha wapi?

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…