Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

Kijana mrembo ila anaongea pumba
 
Kwa kauli ya mtoto wa Museveni aitwaye Kainerugaba kuwa anaweza kuiteka Nairobi ndani ya wiki mbili, akipata urais ambao Bab yake Museveni anamuandalia, atafanya Kama Idd Amin.

Mliokuwa wakubwa mtakumbuka kuwa Idd Amin alipoingia madarakani alianza na kauli za ajabu ajabu dhidi ya Tanzania. Alihitimisha kwa kuivamia Tanzania huko Kagera.

Mwangalie sana huyu mtu
 
M Kanerugaba:

It wouldn't take us, me and my army, 2 weeks to capture Nairobi

Mkalimani:

Haitatuchukua sisi, mimi na jeshi langu, wiki 2 kumkamata Nairobi

Mimi nimewaza kwa sauti:

Hii ni anazungumzia Series ya MONEY HEIST sio km wengi walivyowaza mule ndaani kuna manzi anaitwa Nairobi ndie anaemzungumzia

😂😂😂
👇Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…