Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

Huyu zuzu mwingine anajiona na kuiona Tanzania kama nchi walio achiwa urithi, EARN RESPECT sio vinginevyo
Yaah suree yaani kuna viongozi wanadhani madaraka waliyonayo ni urithi..
 
Tanzania ni Kiranja Mkuu kwa nchi zote za Afrika mashariki na Kusini mwa Afrika.. hivyo nchi zote zipo huru na zinapaswa kutokua na hofu kwa sababu ya Tanzania..
 
Nahisi atakua amedukuliwa maana ana tweet upupu tu. Ila kama yupo serious,Wacha tuone ajue sumu haionjwi hata siku moja.
 
Dogo hajui kama Kenya ni kilembwe pekee cha malkia
 
Nilifikiri ni jokes kumbe ni kweli na naona wa ndugu zetu washa charuka
 
Anaona Kenya ni poyoyo??
Mbona hasemi Tz
Mlevi huyo tumnyooshe kama ndugu yake amini nduli

Ahame nchi yake na afie huko porini
Pumbavu kabsaaa ole wake aiguse Kenya
Yeye alewe mataputapu yake halafu amguse jiran yetu bila kosa lolote

Tutamnyoosha
ivi huwa unafatilia mambo kweli mambo yanabadilika sana !!labda tuwashinde kwa maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…