Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

Lakini ngoja tuende kwenye maada juu alisema kuhusu mission , kwamba kwa sababu wameshiriki mission mpaka sasa its means wapo imara zaidi kama Kenya ambao wapo Somali vipi kuhusu wale ambao wameshiriki vita mda mrefu sana kama japan, china na wengine?
 
Kwanini asiweze. Zile bases karibu na China na zile naval fleets kazi yake hiyo
Avamie sasa kama Ukraine kashidwa atamuweza kweli mchina.
China ina wanajeshi 4million hao ambao wapo active.
Maana juu umezungumzia suala la idadi ya wanajeshi.
 
Avamie sasa kama Ukraine kashidwa atamuweza kweli mchina.
China ina wanajeshi 4million hao ambao wapo active.
Maana juu umezungumzia suala la idadi ya wanajeshi.
Yani Marekani aivamie China kisa wewe umetaka? Nchi sio kikoba, hawafyatuki wakafanya unavyojisikia.

Toka hapo ulipo nenda ubalozi wa Marekani uulize kazi ya jeshi lako ni nini ili siku nyingine usiombe wakufurahishe. Watu wanaomba kuandaa mashindano ya michezo wewe unaomba vita
 
Sijataka vita, kwani USA na china wananijua mimi?
USA hana uwezo wa kupigana na china. War strategies za USA wanazotumia hawataweza kabisa.
Hilo usiwaze kuhusu USA kushida na china.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…