Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Au turudi nyuma kidogo kuhusu korea na Vietnam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini asiweze. Zile bases karibu na China na zile naval fleets kazi yake hiyoSasa USA ataweza kupigana na china?
Avamie sasa kama Ukraine kashidwa atamuweza kweli mchina.Kwanini asiweze. Zile bases karibu na China na zile naval fleets kazi yake hiyo
Yani Marekani aivamie China kisa wewe umetaka? Nchi sio kikoba, hawafyatuki wakafanya unavyojisikia.Avamie sasa kama Ukraine kashidwa atamuweza kweli mchina.
China ina wanajeshi 4million hao ambao wapo active.
Maana juu umezungumzia suala la idadi ya wanajeshi.
Sijataka vita, kwani USA na china wananijua mimi?Yani Marekani aivamie China kisa wewe umetaka? Nchi sio kikoba, hawafyatuki wakafanya unavyojisikia.
Toka hapo ulipo nenda ubalozi wa Marekani uulize kazi ya jeshi lako ni nini ili siku nyingine usiombe wakufurahishe. Watu wanaomba kuandaa mashindano ya michezo wewe unaomba vita