Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna.mkwara wa Biden sasa ndio hatari sanaa....kaambiwa asije akajidanganya akavamia embassy yao pale kampala watajuta kuijia USA....watachakaza jeshi lao zima....na kujutia ukinga wao....Huku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini:
View attachment 3120009
Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko:
"Chezea wengine siyo beberu!"
Baba kakanya mwanae, typical comedyHuku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini:
View attachment 3120009
Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko:
"Chezea wengine siyo beberu!"
Kuna.mkwara wa Biden sasa ndio hatari sanaa....kaambiwa asije akajidanganya akavamia embassy yao pale kampala watajuta kuijia USA....watachakaza jeshi lao zima....na kujutia ukinga wao....
Baba amkana mwanaye Kama Yuda alivyomkana Yesu.Huku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini:
View attachment 3120009
Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko:
"Chezea wengine siyo beberu!"
Statement nzito sana hii kaka 😂Msimamo na umaskini ni vitu tofauti kabisaView attachment 3120021
Goverments za kiafrika wana kunawa wakiona unawachafuaBaba amkana mwanaye Kama Yuda alivyomkana Yesu.
Huyu jamaa ana shule ya kutosha kweli! Mbona anaropoka tu! Kuna siku aliitishia tena Kenya.
Huo mkwara wa Biden uko wapi ? Au stori za vijiwe vya alkasus?Kuna.mkwara wa Biden sasa ndio hatari sanaa....kaambiwa asije akajidanganya akavamia embassy yao pale kampala watajuta kuijia USA....watachakaza jeshi lao zima....na kujutia ukinga wao....
Kuna.mkwara wa Biden sasa ndio hatari sanaa....kaambiwa asije akajidanganya akavamia embassy yao pale kampala watajuta kuijia USA....watachakaza jeshi lao zima....na kujutia ukinga wao....
Mnatuonea mno walevi raisi wa 18 wa marekani bwana Ulysses Grant alikua mlevi na alifanya mapinduzi makubwa mno, huyo ni kichaa chake tu😁😁Hahahahah madhara ya kumpa mlevi madaraka
Msimamo wa masikini ni utovu wa nidhamu.
Mbona sijaielewa vizuri au siku hizi english imeanza kunipiga chengaHuku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini:
View attachment 3120009
Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko:
"Chezea wengine siyo beberu!"
Muhoozi ana ujinga ujinga mwingi, isengukua baba yake ni rais angekua kashafukuzwa jesheni. Majuzi tu katoka kuongea wehu mwingine dhidi ya Kenya.Huku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini:
View attachment 3120009
Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko:
"Chezea wengine siyo beberu!"