Jenerali(Rt) Venance Mabeyo anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Jenerali(Rt) Venance Mabeyo anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Acha uchochezi 😁😁. Watoto wa mjini ndio kwanza wamerudi madarakani, wameanza kuweka mirija yao sawa. Akiingia mzalendo kama huyo ataharibu kabisa mipingo ya watoto wa mjini.
 
Nilipofika kwenye jina la Mwinyi nikakuona wewe ni kiazi kabisa pumbavu zako. Unatuletea utawala wakifalme.
 
Aende akahudumu kanisani kwa kuwa ni mcha mungu sana wa dini ile kutoka Rome.
Utumishi wa umma alishamaliza na moja ya legacy alioacha ni udini wa kupendelea wale wa dini yake ya mabepari.
Kwa kifupi hatufai ni mdini balaaa.
 
Leo tunapo adhimisha miaka 60 ya huu muungano wetu adhimu, nafanya tafakuri, niliwahi kuandika nini humu kuhusu muungano wetu.
Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya muungano wetu adhimu.
Ujumbe wangu ni muungano wetu adhimu udumu milele, na sasa ni muda muafaka tuachane na huu muungano wa kimaghumashi, wa union na federation, sasa twende kwenye muungano wa kweli wa union wa nchi moja, serikali moja, na rais mmoja!.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Tusaidie
P
 
Maadhamimisho mema na kwako pia...

nakutakia tafakuri njema sana, nakwakweli nasubiri bandiko la namna bora ya kuachana na aina ya muungano uliopo bila manung'uniko, na kwenda kwenye huo wa kweli uanao pendekeza wa ichi moja, Serikali moja na Rais moja 🐒

Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake Wote...
 
Huyu nchi alikabidhiwa na mzee yeye akawagawia mafisadi waiendeshe, apumzike tu
 
Back
Top Bottom