Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ulitakiwa uwe wewe?!!Samia hakutakiwa kuwa kiongozi wa hili taifa, hayupo aliyetarajia hili kutokea, ni bahati mbaya ndio imemfanya awepo hapo alipo, na matokeo ya hiyo bahati mbaya ndio sasa anatuonesha kwa vitendo vile alivyo dhaifu asiye na mwelekeo, mjinga ambaye anashindwa hata kulinda rasilimali za taifa, tuna bahati mbaya sana watanganyika.
Huyu mwanamke ataliacha taifa kwenye hali mbaya sana, anaharibu pakubwa ambapo athari za uharibifu wake zitaenda moja kwa moja kuumiza mpaka vizazi vijavyo vya hili taifa, ni jambo baya na la hatari sana pale kiongozi mharibifu anapojigeuza bubu, akijidanganya hiyo ndio hekima, kumbe ni ujinga mtupu, kiongozi lazima uoneshe njia kwa kauli na matendo.
Baba yako ?!!
Mama yako ?!!!
Hivi vitanda vya wodi namba 14 ACUTE pale Mirembe vimejaa na wengine kuwa mitaani ?!!!
Yaani "vetting" zifanyike halafu taifa likosee?!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Hivi vijana wenzangu tunafikiria mwisho wa pua zetu ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]