Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787]Hata wewe unayo haki ya kubaki na ujinga wako mwenyewe wala usiwaambukize wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787]Hata wewe unayo haki ya kubaki na ujinga wako mwenyewe wala usiwaambukize wengine
Ni kweli kabisa !Uzuri wa mama anautulivu mkubwa sana, maneno hayamchanganyi.
Upumbavu haumtoki huyo jamaa [emoji1787][emoji1787]Vumilia tu. Unazeeka vibaya sana kwa kujenga chuki kwa mtu ambae kamwe hutokuja umfikie wewe na kijiji chenu chote
Hao wasaidizi wanamshauri vibaya huku yeye anawatazama tu, amejigeuza bubu, ndio maana nimemuita mjinga dhaifu, mimi siwezi kuwa kiongozi nikafanya vibaya kama yeye."E="denooJ, post: 47612015, member: 589148"]
"
Tanzania haijawahi kupata rais bora kama SAMIA Kuanzia nyerere na waliomfuata. Tanzania inamhitaji zaidi Samia kwa sasa kuliko hata wakati wote. Samia anasemwa kwa ubaya tu ila makosa ni ya wataramu wake yaani baraza,chama,bunge,wanasheria na dola.
Jaribu kuwa rais alafu uone
Eti Mwandosya ?!!!Kwahiyo Kenye wana uongozi Mzuri? Vipi Zambia ambako Vyama vinabadilika kila uchaguzi?
Au je walioko CHADEMA, ACT, CUF, etc ninbora kuliko hawa walioko Madarakani ?
Hao wanaoongozwa na hao katika hivyo vyma wanaonaje ? Kuna rushwa? Nani kachukuliwa hatua ? Je tunapataje viongozi ?
Anataka atupangie rais wa nchi....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujinga ni wako wewe kulazimisha kila mtu awe na maono kama yako. Pathetic
Eti Mwandosya anaijua hii nchi kumzidi marehemu Tuntemeke Sanga ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Hao wanaoijua Tanzania au CCM wamefanya mambo gani ya maana?
[emoji7][emoji2956]Ni kweli kabisa !
Once is an accidentUkilielewa Neno "Coincidence" utaelewa jinsi linavyochangia kupatikana kwa Viongozi wetu katika nchi hii.... Just Coincidentally tu
Huwa nakuona kama mdoli fulani..Ulitakiwa uwe wewe?!!
Baba yako ?!!
Mama yako ?!!!
Hivi vitanda vya wodi namba 14 ACUTE pale Mirembe vimejaa na wengine kuwa mitaani ?!!!
Yaani "vetting" zifanyike halafu taifa likosee?!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Hivi vijana wenzangu tunafikiria mwisho wa pua zetu ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Huwa nakuona kama "gasho " fulani hivi....Huwa nakuona kama mdoli fulani..
Professor Mwandosya ni Mtanzania, Mnyakyusa wa Busokole. Shujaa wa Nji hii, alipigania airport ya Mbeya ijengwe baada ya watu wa CHADEMA kuimega bajeti huko nyuma ili ijenge Arusha Airport.Viongozi wetu wanapatikanaje?
Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani?
Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu, Prof Mwandoshya alikuja na mshangao kwa CCM na Vikao vyake "kwanini tumemchagua mtu ambaye haijui CCM, hajawahi hata kuwa mjumbe wa kamati ya Siasa ya Tawi" kauli hii ilimtia matatani sana, akaamua kutumia muda mwingi nyumbani kwake Matema Beach Kyela ili pia Kujilinda. Yaliyofuatia wana CCM Wanayajua.
Mwaka 2021 baada ya kifo cha Hayati Magufuli akashika kijiti Mama Samia. Akaibuka Nguli Mwingine, Jenerali Ulimwengu, akamwambia Mama "Kaa kwa kutulia, Tanzania huijui" alimshauri Mama kupata wasaa kuijua Tanzania. Wakati ule sikumwelewa vema Jenerali, lkn sasa naanza kumwelewa.
Hawa watu wawili Prof. Mwandosha na Jenerali Ulimwengu ni watanzania wanaoijua nchi. Kauli zao zinaonesha chngamoto kubwa ya kuwapata viomgozi wetu.
Je, hawa wanaotuongoza wanajua wanakotupeleka?
Unavyopenda kumsifia mwanamke kutwaa nilijua lazima utakuwa na tabia kama zake tu.Huwa nakuona kama "gasho " fulani hivi....
Hata kama unadhani haijui lakini sio kutoijua kwa Kiwango cha Samia!!!yeye ulimwengu anaijua nchi?
Siyo bahati mbaya ndugu yangu. Ni tatizo letu hasa Watanzania. Tunakwenda shule lakini hatuelimiki. Misingi ya maamuzi yetu inazidiwa hata na wacheza kamali. Mcheza kamali mwelewa hufanya hesabu kuhusu uwezekano wa kushinda sisi Watanzania wengi tunapofanya maamuzi leo hatufikiri linaloweza kutokea baadaye. Tunatunga sheria kuzuia tatizo la leo bila kufikiri kama sheria hiyo itafaa endapo unayeipitisha sheria hiyo usipokuwa Mbunge au mtawala. Pia CCM haikuwahi kufikiria hata siku moja kuwa mgombea mwenza wa U-Rais anaweza kuwa Rais. Kwa sababu hiyo hawakuwa wanachunguza huyo mgombea mwenza ana sifa gani. Mara nyingi aliteuliwa ama kupunguza shari za kisiasa Zanzibar au kupendeza kundi fulani ili kura nyingi zipatikane. Bila , shaka umeona sasa hata kumteua Makamu wa Rais baada ya kifo cha kwanza cha Rais akiwa madarakani, wamemtazama Makamu kwa hofu zaidi! Tutoakapo jifunza kufanya maamuzi yanayozingatia hali yo yote bila upendeleo wa watawala wala kizazi ndipo bahati mbaya haitatiokea!Samia hakutakiwa kuwa kiongozi wa hili taifa, hayupo aliyetarajia hili kutokea, ni bahati mbaya ndio imemfanya awepo hapo alipo, na matokeo ya hiyo bahati mbaya ndio sasa anatuonesha kwa vitendo vile alivyo dhaifu asiye na mwelekeo, mjinga ambaye anashindwa hata kulinda rasilimali za taifa, tuna bahati mbaya sana watanganyika.
Huyu mwanamke ataliacha taifa kwenye hali mbaya sana, anaharibu pakubwa ambapo athari za uharibifu wake zitaenda moja kwa moja kuumiza mpaka vizazi vijavyo vya hili taifa, ni jambo baya na la hatari sana pale kiongozi mharibifu anapojigeuza bubu, akijidanganya hiyo ndio hekima, kumbe ni ujinga mtupu, kiongozi lazima uoneshe njia kwa kauli na matendo.