Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

Ulitakiwa uwe wewe?!!

Baba yako ?!!

Mama yako ?!!!

Hivi vitanda vya wodi namba 14 ACUTE pale Mirembe vimejaa na wengine kuwa mitaani ?!!!

Yaani "vetting" zifanyike halafu taifa likosee?!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hivi vijana wenzangu tunafikiria mwisho wa pua zetu ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Wenzake kina Kikwete walienda kwa Papa kuomba kibali kuitawala Tanzania,yeye kaenda Oman kuomba kibali,hii inadhihirisha jinsi asivyoijua Tanzania,Maaskofu wa Katoliki wamemkataa kwenye waraka maana amewadharau na hakulijua hilo kwanza.
 
Hujui kutofautisha utulivu na ujinga, wewe unaamini ujinga ndio utulivu.
Never give wisdom to unworthy because it unjust to the knowledgeable [emoji1787][emoji1787]

Unamdogosha sana Rais kihisia tu....zilizoko kichwani mwako....

Kalaghabaho
 

"... akaamua kutumia muda mwingi nyumbani kwake Matema Beach Kyela ili pia Kujilinda."

Narekebisha: "nyumbani kwake ni Lufilyo wilayani Rungwe, si Kyela."
 
Ulivyoviongea naviunga mkono, ni ujinga kuwa kiongozi wa hivi katika taifa.
 
Mwandosha ni nani! Sijawahi sikia jina hili tangu dunia ianze!
Ama wewe ni mtoto. Au ni miongoni mwa watu wasiojribu kuifahamu Tanzania na baadhi ya watu wake.

Mwandosya, mwanaume wa msomi wa kiwango cha kimataifa, jina lake ni kubwa sana hapa nchini. Prof Marc Mwandosya, jembe kali toka nyanda za juu Kusini.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
"Contradiction " sasa kwahiyo kote kuna shida tupu??
 
Narudia tena...

Ndugu Jenerali Ulimwengu kazi yake ilishakwisha.....ilishakwisha....ni warundi wengi wamelitumikia taifa hili....ni wanyarwanda wengi wamelitumikia taifa hili....ni wakongo wengi... etcetera.....

Jenerali Ulimwengu ana tofauti gani nao ?!!!

Tanzania ni kubwa mno zaidi ya ukubwa wa akili za waliomfanya alitumikie taifa hili.... Ulimwengu akili imkae[emoji106]

#Mama Yupo [emoji120]

#Mama SSH ni amiri jeshi wetu kumdogosha ni kutangaza Vita mitandaoni [emoji120]
 
Wenzake kina Kikwete walienda kwa Papa kuomba kibali kuitawala Tanzania,yeye kaenda Oman kuomba kibali,hii inadhihirisha jinsi asivyoijua Tanzania,Maaskofu wa Katoliki wamemkataa kwenye waraka maana amewadharau na hakulijua hilo kwanza.
Si maaskofu...

Si masheikh wenye kusimamia maslahi ya nchi hii...

Taifa letu ni la kijamaa....hizo dini zenu kaeni nazo wenyewe....

Kaeni zenu wenyewe ni UJINGA ULIOWAJAA.....
 
Kumzidi Tuntemeke Sanga ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usakala utawatoka lini ?!!!
 
Ulivyoviongea naviunga mkono, ni ujinga kuwa kiongozi wa hivi katika taifa.
Ulitakiwa uwe wewe?!!

Babayo ?!!

Mamayo ?!!!

Nchi hii haijakosa wenye akili....wenye "akili" walimuona mh.Rais SSH....

Tafuta kikopo cha mafuta umtafute "baasheeer".......
 
Ukisikia wanasema huyu haijui CCM basi jua kuijua CCM inabidi uwe mnafiki, ambae unapiga dili kwa kushirikiana na wenzio
Yaani "mtutsi" ndio aijue CCM ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kalaghabaho
 
Kenya! Imesonga kwenda wapi au ni Kenya gani unayoitamka hapa! Huko ndiko kumejaa vurugu mechi, kila siku ni maandamano na kutwangana tu!
Wamejaa ujinga....

Eti Kenya....[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Kweli Mirembe vitanda vimejaa....
 
Umekariri...

Upumbavu wa KUKARIRI....siwezi kuinanga elimu yetu....ninaunanga uzoba na ujuha wako wa malezi mabovu ya kutofundishwa UADHIMU WA TAIFA unaloishi.... kalaghabaho y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…