Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Mhutu kuliko mwendazakeHuyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhutu kuliko mwendazakeHuyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Hoja ujibiwa kwa hoja sio kumjadili mleta hoja.Huyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Yuko vizuri Sana upstairs, CCM nzima Hakuna mwenye akili Kama yeye....mtu anakuwa Hana akili akiwa kiongozi anakuwa na akili kuwazidi wote.....ndio akina Jiwe na ChiefHuyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Amewagonga kisawasawaNJAA ZITAKUUWA ASKOFU MCHUMIA TUMBO NAFIKIRI NA SADAKA UNAIBA WEWE
Jenerali anajitambua sana. Sio mnafiki kama watanzania waliowengi walivyo.Huyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Wakati Jenerali Ulimwengu anasoma Chuo Kikuu, chuo kilikuwa na wanafunzi mamia tu. Leo hii digrii ziko kila kata ya nchi hii. Mwambieni abadirike.MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza.
𝗛𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗜 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔𝗪𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗨𝗭𝗜𝗡𝗗𝗨𝗭𝗜 𝗛𝗨𝗢....
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu" - Jenerali Ulimwengu
"Hakuna uwezekano wa kizazi chetu kupata maendeleo na kupiga hatua ikiwa kitaendelelea kufundishwa kwa lugha wasioijua na pia wale wanaowafundisha nao hawaijui hiyo lugha"- Jenerali Ulimwengu
"Hakuna swali la kijinga ila majibu ndo ya kijinga"- Jenerali Ulimwengu
𝗔𝘀𝗸𝗼𝗳𝘂 𝗕𝗲𝗻𝘀𝗼𝗻 𝗕𝗮𝗴𝗼𝗻𝘇𝗮
"Mwalimu Nyerere aliwahi kusema marais wazuri waongoze kwa vipindi viwili ili waondoke na uzuri wao, lakini marais wabaya wao wataondolewa na wananchi" - Askofu Bagonza
"Tabia ya watu kusifia viongozi waliopo madarakani kufanywe kama kosa la jinai ili kupunguza watu kujipendekeza kwa viongozi kupata uongozi"- Askofu Bagonza
"Watanzania wanahitaji katiba yenye uwezo wa kuweka na kuwaondoa viongozi madarakani badala ilivyo kwa sasa" - Askofu Bagonza
"Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu"- Askofu Bagonza
"Tunaupungufu mkubwa katika Taifa letu la watu wenye Fikra na Uthubutu; Wapo wenye Uthubutu lakini hawana Fikra, kuna watu unawaona wana Fikra lakini hawana Uthubutu. Makundi haya yanahitaji daraja kuyaunganisha" - Askofu Bagonza
"Aslimia 60 ya wabunge wa CCM waliopo bungeni kwa sasa hawakushinda kura za maoni ndani ya chama chao, hata wanachama wao wanajua na wanaona kabisa hawakuwachagua na hivyo wanaona siyo wa wabunge wao"- Askofu Bagonza
"Bunge la sasa lina utata, kuna mabunge mawili (2), moja lipo mdomoni mwa watu na lingiine lipo mioyoni mwa watu," -Askofu Bagonza
Chanzo; Nipashe Mwanga Wa Jamii #NipasheHabari
Ulimwengu bado anazungumzia Panafricanism yake. Bahati mbaya ktk nchi aliishia kuwa DC. Akajaribu kutumia udini kwa kujiita Twaha, wapi? sasa akubali tu yamekwisha.Ulimwengu anapaswa astaafu na apumzike. Yeye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini na hakuna alichofanya na vizazi vya eneo husika kumkumbuka. Ni sawa na Jaji Waryoba..wapiga kelele. Askofu anapenda kick na makofi.
Hata magufuli alikua mrundiHuyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Watu wanaoitwa wajinga ni wenye majibu na hoja za kijingaWakati Jenerali Ulimwengu anasoma Chuo Kikuu, chuo kilikuwa na wanafunzi mamia tu. Leo hii digrii ziko kila kata ya nchi hii. Mwambieni abadirike.
Anaposema Hakuna swali la kijinga ila kuna majibu ya kijinga, muulizeni watu wanaoitwa wajinga huwa wanauliza maswali ya aina gani? Au wanapouliza ujinga unawatoka? Ni msemo wa kizamani sana!!!!
Na maswali ya kijinga pia. Ulimwengu wenu hajui hilo!Watu wanaoitwa wajinga ni wenye majibu na hoja za kijinga
Mhutu alikuwa yule dhalim aliyeko motoni sasa hiviHuyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Mbona hata ule mzoga wa chattle pia unasadikika kuwa na vinasaba vya kirundi?Huyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
We mwenyewe Mmalawi na sisi tunakusanifu tuHuyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Yaani jamaa wakati mwingine anakuaga na mawazo kama ya dangaNingekuona una point kama ungekuja na fact katika kile unachompinga.
Kinyume chake ni bora ungekaa kimya.
Wewe achana na Jenerali, size yako ni Polepole.... na Shaka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wakati Jenerali Ulimwengu anasoma Chuo Kikuu, chuo kilikuwa na wanafunzi mamia tu. Leo hii digrii ziko kila kata ya nchi hii. Mwambieni abadirike.
Anaposema Hakuna swali la kijinga ila kuna majibu ya kijinga, muulizeni watu wanaoitwa wajinga huwa wanauliza maswali ya aina gani? Au wanapouliza ujinga unawatoka? Ni msemo wa kizamani sana!!!!
Nani? Ulimwengu! Miaka ya 70 ni sawa, siyo TZ ya leo. Muulizeni alipoingia Kikwete, yeye na mwenzake Tibaijuka waliendesha kipindi cha Ulimwengu on Monday, wakizomea utawala wa Mkapa. Ilikuwaje Tibaijuka akapewa Uwaziri na yeye akaachwa pembeni? Tunamjua kuliko wewe mwenye digrii ya JF, boss!Wewe achana na Jenerali, size yako ni Polepole.... na Shaka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hiyo akili umeipimaje? Kilichomtuma kusoma kiingereza badala ya Physics ni nini? Mwanaume mzima!Yuko vizuri Sana upstairs, CCM nzima Hakuna mwenye akili Kama yeye....mtu anakuwa Hana akili akiwa kiongozi anakuwa na akili kuwazidi wote.....ndio akina Jiwe na Chief