Jenerali Ulimwengu: Inanichosha kusikia sifa za Rais kila dakika

Muasisi wa haya yote ni Jiwe mkuu
 
Hii imeenda
 
upumbavu huu ulianzia serikali ya wale washamba wa kisukuma jitu hata likijisaidia linamsifu raisi
 
Jenerali hajawahi kuwa sawa na uongozi wowote wa nchi hii.. kuanzia enzi za Mkapa yeye ni kuponda tu hana jema. Ndo maana ikabidi aombe tena kupata uraia kwasababu ya kuvuka mipaka yote ya ustaarabu. Huyu mzee bora akae kimya kwasababu kaifaidi sana keki ya taifa.
 
Wacha unafiki! Mbona watu wake Ulimwengu kwenye newsroom wanakutetemkia sana? Hiyo kumtukuza Boss ni very natural, essentially ni adabu njema, that's all.
Piss!
 
Mh,makonda aliwahi kumfuta viatu prince wa awamu ya nne.

Uchawa haujaanza na magu.
Ni kweli lakini machawa hawakuwa wengi kama awamu ya Jiwe. Jiwe alileta mambo ya ajabu sana mpaka watu wakamuombea kifo
 
Bado mabango kila Kona kama wanatangaza sumu ya mende na kunguni, hakuna raisi Tanzania alieimbiwa mapambio kama huyu mkazi wa dole kizimkazi, na yeye anapenda kama angekua hapendi asingekubali pesa ya serikali kuchezewa kwa kuchapisha mabango yasiyo kua na maana
 
Haka kazee ka kinya Rwanda kana taka nini tena? Kazee kenyewe hata no ya NIDA hakana . Kashaurini katulie vinginevyo tutakafanyizia kama enzi ya MKAPA.
 
Anataka asifiwe yeye. Kwani siku hizi mtz huyo.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Lakini yeye kumsifia PAKA kila dakika ni ni sawa.
 
Jasiri haachi asili, Haka ka zee karudisheni kwao RWANDA kasituchafulie nchi yetu. Enzi za MAGU baada ya onyo mbona KALIUFYATA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…