Jenerali Ulimwengu: Kuna Mtanzania alitufanya Mazuzu

Generali ulimwengu ni mtu hatari aliejawa na roho mbaya kupindukia. Aende kwao Rwanda akajaribu kufanya haya anayoyafanya hapa asikilizie muziki wake. Anadhani yeye anafahamu kila kitu na chochote anachotaka yeye kifuatwe. Hiyo ndiyo demokrasia?
Ndiyo alivyokwambia!?
 
Problem mlikuwa hamumsemi akiwa hai.. Kwamba mlikuwa mnamwogopa ama? Maana tangu afariki Kila siku anasemwa....
 
Jenerali aliyasema hayo katika kikao kilichohusu mambo ya maridhiano kwa nia njema kabisa. Kabla ya kujadiliana kuhusu maridhiano alielezea umuhimu wa kuelewa nini kilichojiri hadi tukafikia kutokuelewana na sasa tunahitaji kuwa na maridhiano kwa pande zote. Na kama mchambuzi wa mambo ya siasa ameekeza kwa kifupi tu kilichotufikisha hapo. Hajataja jina la mtu yeyote bali kalaumu uongozi ambao ulifanya mambo yaliyowatenganisha wananchi. Nimeona umelakamikia sana maoni yake hadi kufikia kuanza kutaja majina. Kama ni kweli au si kweli tuwaachie wananchi walioyaona mambo yalivyokuwa waamue wenyewe.
 
Generali ulimwengu ni mtu hatari aliejawa na roho mbaya kupindukia. Aende kwao Rwanda akajaribu kufanya haya anayoyafanya hapa asikilizie muziki wake. Anadhani yeye anafahamu kila kitu na chochote anachotaka yeye kifuatwe. Hiyo ndiyo demokrasia?
Huyo mzee ni ana roho mbaya anajiona yeye ndo anaakili wengine wajinga! Ni mtu wa kukosoa tu bila kutoa suluhisho!
 
..."let bygones be bygones"...kuendelea kumlaumu Marehemu haitatusaidia kutukwamua.

Japo ni vizuri kuangalia tulijikwaa wapi ila ni vyema tujikite kwa yaliyo mbele yetu.
 
NASIKIA Mzee alipewa nafasi ya kutawala Rwanda akamgomea mwalimu nyerere!!nadhani aligoma kufanywa zuzu ndio Paulo mrefu akapata NAFASI kupenya chini ya mseven!!
Uongo huu...

Lini Rwanda ilikuwa sehemu ya Tz mpaka Nyerere awe na uwezo wa kuwachagulia kiongozi ?
 
Muda NI hukumu nzuri Sana maana hata Hawa waliopo wakiondoka kwa watanzania sisi tutawasema .Magufuli ametimiza kazi yake hapa Duniani sisi bado tupo tupambane kutimiza yetu.Tuache kusingizia tuwajiibike kwa nafasi zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…