Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Unateseka?Huyu nae katuchosha na neno "zuzu". Yaani kila akiipata maiki hawezi kumaliza kuongea hadi amseme Magufuli, sijui alimto..bea mke....??!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unateseka?Huyu nae katuchosha na neno "zuzu". Yaani kila akiipata maiki hawezi kumaliza kuongea hadi amseme Magufuli, sijui alimto..bea mke....??!!
Yule alizidi aliamini hatokufa,na wasaidizi wake Wa karibu wakaamini hatokufaMtazamo wangu:
Shida ipo kwenye katiba na sio mtu. Pale Ikulu hata aende malaika kwa katiba tuliyo nayo, bado atatoka na pembe kama zote.
Na wenye nchi washaliona hilo, wakikubali kubadilisha katiba, ndipo tutakapo toboa.
Ndiyo maana kwa katiba ya sasa, ni lazima tuwashukuru marais waliotangulia na kumuomba aliyepo kwenye nafasi yake, kwasababu kufanya kwake jambo sio sharti bali ni kwa mapenzi yake mwenyewe.Yule alizidi aliamini hatokufa,na wasaidizi wake Wa karibu wakaamini hatokufa
Kwani mkimsema vizuri au vibaya wakati huu baada ya yeye kutangulia mbinguni , anapungukiwa nini zaidi ya nyinyi kuendelea kupaka rangi upepo.Ngoja waje. Hayati alikuwa na wakati mzuri wa kutufanya tumseme vizuri akifa. Lakini alikaza shingo matokeo yake kaacha msala
Sijajua unanipinga ama unakubaliana na Mimi.
Sasa ikiwa Idadi kubwa wa wakaazi wa Dar hawapigi kura then why tuseme tatizo ni katiba na si watu?.
Tanzania ni nchi inayoweza ongozwa na yoyote yule awe Mweu, Mwerevu , Malaika ama Shetan. Ni yeye mwenyewe Rais akiamua kufanya atakavyo.
Walikua hawamauabudi,sema Watanzania walimuelewa sana Mwendazake!!Watanzania walimuabudu mwendezake zaidi ya Mungu.
Katiba ilimtaka yule Bwana pesa za miradi zipite Bungeni basi nikumbushe ni lini yule bwana alifanya hivyo na nikumbushe ni wapi na lini Bunge lilihoji dhidi ya vitendo hivyo vya Pesa ya Miradi kutoka kwenye kibubu cha Serikali hadi kwenye Miradi...Katiba ndio inawawezesha viongozi kuwafanya wananchi mazuzu.
..Kwa hiyo chanzo cha yote hayo ni katiba mbovu.
..Katiba inayolinda waovu ktk ngazi za uongozi badala ya kuwalinda waadilifu na wapenda haki.
Mikopo mingi ya sirimiradi yote hii mnayoiona ndugu zangu tunaitekeleza kwa pesa za ndani
tulia sindano ikuingie vizuri kweri-kweriHuyu nae katuchosha na neno "zuzu". Yaani kila akiipata maiki hawezi kumaliza kuongea hadi amseme Magufuli
Akitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu.
Geberali apewe ulinzi
Tazama Video
Kwani lini Jenerali Ulimwengu alikuwa Mtanzania?Akitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu.
Geberali apewe ulinzi
Tazama Video
Hiyo haitakuwa katiba bali kitabu cha rejea!Ni hivi, hata hiyo katiba nzima ikipatikana bado Rais wa Tanzania anaweza fanya chochote na asifanywe chochote.
There's no law in the jungle.
Ooh, kumbe ni raia wa wapi?Kwani lini Jenerali Ulimwengu alikuwa Mtanzania?