Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hapa sina ninae mshabikia mkuu, lakini hoja yangu kubwa ni kwamba Mzee Ulimwengu anapaswa kutafuta hoja zingine tofauti na kumsema Magufuli kila kukicha. Yaani anakua kama alisahaulika na sasa kwakua Magufuli ni marehemu, basi Ukimwengu anakitumia jina lake kama ngazi ya kupandia ili afike sehem flaniZuzu tulia sindano ikuingie vizuri kweri-kweri