Hapa sina ninae mshabikia mkuu, lakini hoja yangu kubwa ni kwamba Mzee Ulimwengu anapaswa kutafuta hoja zingine tofauti na kumsema Magufuli kila kukicha. Yaani anakua kama alisahaulika na sasa kwakua Magufuli ni marehemu, basi Ukimwengu anakitumia jina lake kama ngazi ya kupandia ili afike sehem flaniZuzu tulia sindano ikuingie vizuri kweri-kweri
Siteseki mkuu maana kwanza mimi sio mtu wa siasa.Unateseka?
Hii ndio point yangu kubwa mkuu. Kimsingi amesha tuchosha kuongea neno moja kila anapo bahatika kukutana na mic.Sijui ana shida gani. Kila akisimama lazima aseme. Yeye anafikiria we are still interested kusikia mambo hayo hayo kila siku.
Dah!kwa hiyo mke ana nguvu kuliko nchiHuyu nae katuchosha na neno "zuzu". Yaani kila akiipata maiki hawezi kumaliza kuongea hadi amseme Magufuli, sijui alimto..bea mke....??!!
Wewe labda umeelewa... kuna wengine inabidi waambiwe. Tuungane na Jenerali kusema ukweli!
Simba vipi?Ngoja waje. Hayati alikuwa na wakati mzuri wa kutufanya tumseme vizuri akifa. Lakini alikaza shingo matokeo yake kaacha msala
Upo sawa sana mkuu.Ni muumini wa ukosoaji,ndicho kilichofanya aporwe paspot na mkapa,maana alikua akifichua ufisadi,moja wapo no muwekezaji kulipa Thamani ya beberu 11 kwenye uwekezaji wake
Akizidi kusema roho ya kusema itawaingia watu wengi. So mengi yatasemwa!!Aseme na kweli za upande mwingine ndiyo tujue kwa yeye anapenda ukweli.
Mbona nguzi za umeme zimeanza kutoka nje ya nchi hasemi. Musoga gang wanabaka nchi kweupe yuko kama bubu. Yeye atulie tu. Muda wake umepita. Badala ya kutoa habari za kutugawa na kuongeza chuki kwa watu fulani, yeye aongelee mshikamano, upendo na amani kwa kizazi kipya.
Tatizo la mzee Ulimwengu ni kisasi tu. Huyu aligombana na Magufuli tangia utawala wa Mzee Mkapa. Atakuwa bado anaweweseka ahamini kama Magufuli ameshafariki.Huyu nae katuchosha na neno "zuzu". Yaani kila akiipata maiki hawezi kumaliza kuongea hadi amseme Magufuli, sijui alimto..bea mke....??!!
Mbona hakuongea kipindi cha magufuli?Huyo ndiye generali, hapindishi maneno, watu aina hii wamebaki wachache sana tz
Mafahali wawiliGenerali ulimwengu ni kichaa na ni mtu hatari aliejawa na roho mbaya kupindukia. Aende kwao Rwanda akajaribu kufanya haya anayoyafanya hapa asikilizie muziki wake. Anadhani yeye anafahamu kila kitu na chochote anachotaka yeye kifuatwe. Hiyo ndiyo demokrasia?
Duh! AiseeAkitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu.
Geberali apewe ulinzi
Tazama Video
Mfano mzuri wa "mazuzu" ni wewe hapa na Nyangomboli, na watu kama hao.Mazuzu ni yeye na ugoro wake
USSR
Kwanini tusiitekeleze wakati sisi ni dona kantreeemiradi yote hii mnayoiona ndugu zangu tunaitekeleza kwa pesa za ndani
Huu ni mwanzo tu, mliyokuwa mmezoea kuamwimbia na kumjazia misifa mwende mkatafute pa kuliliaHuyu nae katuchosha na neno "zuzu". Yaani kila akiipata maiki hawezi kumaliza kuongea hadi amseme Magufuli, sijui alimto..bea mke....??!!
Hamsemi magufuli bali anaukemea umagufuli usijirudie tena tzHapa sina ninae mshabikia mkuu, lakini hoja yangu kubwa ni kwamba Mzee Ulimwengu anapaswa kutafuta hoja zingine tofauti na kumsema Magufuli kila kukicha. Yaani anakua kama alisahaulika na sasa kwakua Magufuli ni marehemu, basi Ukimwengu anakitumia jina lake kama ngazi ya kupandia ili afike sehem flani
Akizidi kusema roho ya kusema itawaingia watu wengi. So mengi yatasemwa!!
Lakini, ccm si mmeipenda wenyewe?? Wapendeni na watu wake!!
Kwahiyo tanzania tutapata watu wanaojitambua lini?.Ukiwa na katiba bora kila kitu kitafwata mstari.maana katiba yenyewe itatengeneza miongozo na hatua za kuchukua pale mtu anapokiuka.leo hii rais yuko juu yakila kitu nikwasababu ya katiba iliyopo.ila ukiwa na katiba inayodhibiti mamlaka ya rais lazima kuna vitu vitabadilika ikiwa nipamoja na uzalendo.Rafiki, ujanisoma vizuri.
Nimesema[HATA] tukichukua katiba ya marekani, sijalinganisha katiba ya Marekani na Tanzania.
Katiba haiwezi simama bila watu wanaojitambua.
Ndiyo neno sahihi ila tatizo lako huupendi ukweli!! Kuna kiongozi mmoja aliwahi pia kuwaita watanzania wenzake 'malofa' mbona hukusema kitu??Huyu nae katuchosha na neno "zuzu". Yaani kila akiipata maiki hawezi kumaliza kuongea hadi amseme Magufuli, sijui alimto..bea mke....??!!