Kabisa mkuu... Namkumbuka sana mhe Bwege bungeni kuhusu watanzania [emoji23][emoji23]Uzuzu upo sana tu. Tuligeuka watu wa ndio mzee
Nyie wanyonge: ndio mze
Mtapata noa wote: ndio mzee.....
Haya shangilia: ulululululuu
Wengine hamuwezi kuelewa kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na huo uzuzu wa kihalaiki tuliyopuliziwa kwa miaka hiyo sita. Tatizo kubwa lililotupata kama taifa miaka hii ni kusambaratika kwa umoja wa kitaifa na kubomoka kwa utaifa wetu. Ingawa chimbuko la matatizo haya ni siasa mbaya hapana shaka kwamba awamu ya tano imetupeleka mbali zaidi kiasi cha kuhatarisha uhaj wa taifa letu. Jenerali alikuwa mmoja wa vijana wa Nyerere waliomuelewa sana. Kwa umri wake Jenerali, upeo wake kifikra na kwa jinsi anavyoifahamu hii nchi, muasisi wa taifa hili na misingi ya utaifa tuliyorithishwa, haachi kushangaa ajali hii mbaya iliyotupata ya kuwa na uongozi wa aina ile ya awamu ya tano, hususan rais Magufuli. Jambo la kushangaza na kusikitisha zaidi ni jinsi ambavyo aliweza kudumisha uharibifu huo kwa muda wote na hata kujipa muhula wa pili kwa njia haramu kabisa kwa kupitia kile kile chama kinachojipambanua kuwa chama cha siasa bora zaidi katika Afrika!Huyu nae katuchosha na neno "zuzu". Yaani kila akiipata maiki hawezi kumaliza kuongea hadi amseme Magufuli, sijui alimto..bea mke....??!!
Hivi siku ya hukumu Mungu anakwambia utoe ushahidi wa hiyo tuhuma kwamba sisi watanzania tulimuabudu Mwendazake je, utaweza kutoa ushahidi mbele za Mungu?Watanzania walimuabudu mwendezake zaidi ya Mungu.
Ulimwengu apande kwenda wapi ndugu yangu!!!...Nani asiyemjua!!?...Upo sawa sana mkuu.
Lakini hoja kubwa hapa ni we are not interesting na hili neno lake ambalo ndio kaligeuza kama ngazi ya kupandia kila kukicha
Dona kantri! Tanzania ilikuwa beberu na yenyewe!miradi yote hii mnayoiona ndugu zangu tunaitekeleza kwa pesa za ndani
Hahaha ni kweliAlifanya hivyo kuanzia Oktoba 2015 had Januari 2016 tu. Kipindi hicho dunia nzima ilimpenda. Baada ya hapo akabadilika. I do not know shetani gani tu alimshukia!!
FactSukuma gang, buana... Yaani tunasoma akina Hitler, Carl Peters... na wengineo wa 1800, 1900 na kitu. Leo eti hamtaki dikteta aliye kufa 17 march 2021 asisemwe?! Hivi mna akili kweli? Kuna somo pia linaitwa historia. Wamesoma akina Nyerere na wengine. Unasemaje - lifutwe kwenye mashule?
Mjomba kama huelewi maana ya katiba ni afadhali usome tu post humu na isichangie chochote umetoa mfano mzuri wa katiba ya marekani alafu hapohapo unasema katiba sio muarobaini. yaani unajitekenya mwenyewe na unacheka ww mwenyewe kweli dunia inaenda kasi sana.Shida ni watu si katiba. katiba si mwarobaini wa matatizo ya Tanzania na Africa kwa ujumla, watu ndiyo tatizo.
Katiba tuliyonayo inamfanya Rais kuwa Demigod lakini bado Rais anaona haimtoshi na anaamua kufanya yaliyo nje yake na hakuna muhimili wa kumzuia ilhali miimili hiyo imepewa nguvu sawa na serikali.
Hata leo tukichukua Katiba Ya Us yote bado Rais wa Tanzania anaweza fanya anavyotaka na hakuna wa kumfanya Chochote.
Trump alikuwa akienda kinyume Mahakama inamwambia"STOP". Je, Tanzania tuna mahakama ya kumzuia Rais?.
SAWAMjomba kama huelewi maana ya katiba ni afadhali usome tu post humu na isichangie chochote umetoa mfano mzuri wa katiba ya marekani alafu hapohapo unasema katiba sio muarobaini. yaani unajitekenya mwenyewe na unacheka ww mwenyewe kweli dunia inaenda kasi sana.
Hongera zenu mnaolamba asali baada ya kufa JPM.mbunge wa hapa hajaja kuwasemea wananchi matatizo yenu mlikosea sana kuchagua upinzani yule baba asingekufa hali ingekuwa mbaya kwelikweli
Akitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu.
Geberali apewe ulinzi
Tazama Video
View attachment 2182469
Then hiyo kutokuipenda ionesheni kwenye kuikosoa vikali ccm.CCM imependwa na msoga gang. Ndiyo wanademka wakiongozwa na kigogo wao.
Kusolve tatizo lazima uwe na pa kuanzia.Katiba mpya haiwezi kuficha ujinga wetu watanzania, matatizo mengine yapo na tunashindwa kuyakibili kwa sababu ya ujinga hivyo katiba mpya haitokuwa kichaka cha huu ujinga tulionao maana hata huku kulilia katiba hadi leo ni matokeo ya ujinga wetu.
Huo ndio ukweli. Kwasasa tupambane na mfumko wa bei had vita URUSI iishe.JPM alishakufa, haijalishi alifanya mazuri au mabaya....hebu sasa tupambane na yetu sisi tuliohai na tuache kulialia, He has done his part, tuwe na shukrani, kama wengine mnamuona alitufanya mazuzu wapo wanaoona alikuwa the best pia, na hii ipo kwa kila binadamu..