Kuhusu COVID bado Magufuli ni shujaa,,
Niambie Leo kuna inchi gani bado wanaweka watu wao lock down?
Au caranteen.
Au bado wanavaa barakoa?
Magufuli alisema huu ugonjwa ni wa kupuuza,
Na sasa dunia imeupuuza ugonjwa wa COVID.
Kuhusu kusemwa vibaya Magufuli,
Hivi Magufuli hakuwa na mazuri?
Sijaona yeyote msafii akamsema vibaya Magufuli.
Wengi wanaomsema vibaya ni wale watu waliopokonywa maslahi yao kwa njia moja au nyingine.
Mfano kigogo,,
mange kimambi ,
vyeti feki,
wezi wa Mali ya umma,
Walevi wa madaraka waliotumbuliwa nk.
Kama kweli ni wazalendo wa kweli waongee mabaya ya waliohai.
Sio kuendelea kupambana na marehemu...
Sent from my M2101K7BG using
JamiiForums mobile app