Unaweza ukaenda Ulaya au kusoma Ulaya ukawa huna bado exposure. Kujadili kwako hoja kunaonesha ulivyo. Kuongea kijerumani si hoja hizo lugha tumeziongea tukiwa bado wadogo, hadi Kirusi. Na usiseme kuna kundi dogo Ujerumani. Unasema kwa dhania. Mtu mwenye akili timamu uwezi kuongelea mtu badala ya maendeleo. Kuna watu wanasoma lakini kawajaelimika. So unadhani ukimsema vibaya mtu ndo maendeleo. This is Rubish!
Na nikuonye, hakuna sehemu niliyosema JPM ni Mungu wangu. Narudia, nakuonya.... Nina Mungu mmoja tu ninae mtumikia, nae haringanishwi na kitu chochote. Sasa ukiingia huko kwenye swala la imani, kuwa makini usije kuharibikiwa. Nakuonya!
Mungu ninae mwamini achezewi wala kudhihakiwa. Sasa endelea kama wewe ulijileta hapa duniani na unajiona unauwezo wa kuropoka, na kusema lolote unalodhani utaenjoy moyoni mwako.