Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kufamfananisha mwendazake na yesu ni sawa na kusema magu ni Mungu ukizingatia doctrine of holy trinity- baba ,mwana na roho mtakatifu.
Wengine kwao Yesu hawamtambui kama Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufamfananisha mwendazake na yesu ni sawa na kusema magu ni Mungu ukizingatia doctrine of holy trinity- baba ,mwana na roho mtakatifu.
Scholarship maalum kwa watanzania si nyingi, zilizopo ni za ujumla. Sijui haujaelewa nilichokieleza. Nchi nyingi wana scholarship maalum kwa nchi zao, achana na hizi za jumla jumla.Kwenye hili gazeti lako,kitu cha maana ni kuwaaminisha Watzn kwamba Katiba ndio muarobaini.
Pili hili la scholarships na exposure ni muhimu sana kuepusha viongozi mazuzu kama bwana yule..
Japo umeponda sana ila scholarships huwa zipo Sana tuu sema Watzn ni wazito Sana kuchangamkia fursa za nje.
Ndo mnajidanganya, kwa wale waliompenda ni ngumu kugeuza imani yao kwake. Kelele za chura hazimzuiii ng'ombe kunywa maji.Kuliko kukaa kimya na kujifanya hayakutokea, bora kusema ili watu wajifunze na kuhakikisha huo ujinga haujirudii tena. Ndio maana ya historia.
Kuna sheria inayoweka viwango vya kuandika. Uzuzu upo nao wewe ambaye unadhani wengine ni mazuzu. Nawasiwasi na malezi uliyapata kwa wazazi wako. Mwana mwema hatokwi na maneno ya ovyo kinywani mwake, bali alie mpumbavu na mwenye malezi yasiyo na maadili.Umeandika gazeti reeefu!! Uzuzu mtupu! Wewe ni yale mazuzu ya Magu yaliyojificha
Nenda Chato huko ukalinde legacy 🚮Kuna sheria inayoweka viwango vya kuandika. Uzuzu upo nao wewe ambaye unadhani wengine ni mazuzu. Nawasiwasi na malezi uliyapata kwa wazazi wako. Mwana mwema hatokwi na maneno ya ovyo kinywani mwake, bali alie mpumbavu na mwenye malezi yasiyo na maadili.
Alie wadanganya kuwa ukitukana umeshinda, kawaona ninyi ni mazuzu msietumia akili zenu.
Akili zisizo na akili uwaza upuuzi!Nenda Chato huko ukalinde legacy 🚮
Ukweli hujitenga na uongo...kama ilivyotokea kwa Covid.. imebaki majonzi.Ndo mnajidanganya, kwa wale waliompenda ni ngumu kugeuza imani yao kwake. Kelele za chura hazimzuiii ng'ombe kunywa maji.
Hasa kule lumnashukuru Mungu mimi sikuwa zuzu, mazuzu wapo hata humu
Hasa kule lum.........nashukuru Mungu mimi sikuwa zuzu, mazuzu wapo hata humu
Nikikusoma naona madhara ya Magufuli kama alivyosema Jenerali ''imbecilization''Kuhusu COVID bado Magufuli ni shujaa,,
Niambie Leo kuna inchi gani bado wanaweka watu wao lock down?
Au caranteen.
Au bado wanavaa barakoa?
Magufuli alisema huu ugonjwa ni wa kupuuza,
Na sasa dunia imeupuuza ugonjwa wa COVID.
Magufuli aliishi kwa kodi za Watanzania kama alivyoishi Nyerere, Mwinyi, Mkapa na KikweteKuhusu kusemwa vibaya Magufuli,Hivi Magufuli hakuwa na mazuri?
Sijaona yeyote msafii akamsema vibaya Magufuli.
Wengi wanaomsema vibaya ni wale watu waliopokonywa maslahi yao kwa njia moja au nyingine.
Kama kweli ni wazalendo wa kweli waongee mabaya ya waliohai.
Sio kuendelea kupambana na marehemu...
Mungu ninayemuabudu hafanyi kazi kizembe hivyo!!Hivi siku ya hukumu Mungu anakwambia utoe ushahidi wa hiyo tuhuma kwamba sisi watanzania tulimuabudu Mwendazake je, utaweza kutoa ushahidi mbele za Mungu?
Basi hatendi haki huyo Mungu unayemuabudu, maana sie wengine tunaamini Mungu ndio mtenda haki.Mungu ninayemuabudu hafanyi kazi kizembe hivyo!!
Ni mtenda haki ndiyo maana amerahisha mtu mwovu anashughulikiwa kwa uovu wake bila delay kabla hajaondoka duniani!Basi hatendi haki huyo Mungu unayemuabudu, maana sie wengine tunaamini Mungu ndio mtenda haki.
Sio kweli mbona kuna watu wengi tu hadi wanakufa hawajalipa uovu wao.Ni mtenda haki ndiyo maana amerahisha mtu mwovu anashughulikiwa kwa uovu wake bila delay kabla hajaondoka duniani!
Mkuu fuatilia kwa makini...Sio kweli mbona kuna watu wengi tu hadi wanakufa hawajalipa uovu wao.
Nifuatilia vp tena? tuchukulie mfano huyo Mwendazake amelipia kwa lipi kwa maovu yake au ndio huko kufa tu?Mkuu fuatilia kwa makini...