Hapo kazi ipo yaani lisu anafurahi kweli kuwa mahakamani..Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Wamwachie Tu mtu mgonjwa bado ana risasi , kliniki hahudhurii kila madhira afanyiwe bila huruma , Hana jeshi, Hana silaha sio haki kabisaYana mwisho haya na mwisho huwa mbaya sana kwa waonevu. Mungu hapendi haya.
Ila mnaotaka kuuanae ,tufanye vurugu basi nyie ni malaika eti?Tuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
100%Tuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
Catherine Ruge kutoa mawazo yake juu ya NO REFORM NO ELECTION katupiwa virago. Leo mtu anasema tuvuruge uchaguzi,tufanye uasi na uhaini alafu nyie wabelgiji mnasema anaonewa. HAKI UPATIKANA MAHAKAMANIInasikitisha sana
Hakika😪Tuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
Kazi nzuri vitisho vingi ila jamaa yupo safi na anawadhihirishia uma no reform no electionWakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Mahakama ipige marufuku mtu kuingia chumba cha mahakama akiwa kanywa konyagi kubwaWakuu,