The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Umemuona analia pale? Hushangai mpaka poti wanaomlinda wanamuunga mkono.Lisu alijifanya mwamba sasa analia
USSR
Peoplezzz
Umemuona analia pale? Hushangai mpaka poti wanaomlinda wanamuunga mkono.Lisu alijifanya mwamba sasa analia
USSR
Dada unalialia nini sasaWewe tulia kwa mumeo siasa tuachie sisi
Sio wameamuka, sema wameamka......Mahakama ipige marufuku mtu kuingia chumba cha mahakama akiwa kanywa konyagi kubwa
Wameamuka nazo hao kilio cha kilevi hicho
Weww ndo mke wao umewaudumia hizo konyagiMahakama ipige marufuku mtu kuingia chumba cha mahakama akiwa kanywa konyagi kubwa
Wameamuka nazo hao kilio cha kilevi hicho
Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Mbona na mimi natokwa na machozi nikiwa online via Jamii forum, sijui nitoe pole ama hongera, maana dah. Anyaway hongera kwako TAL you are so strong
Hawa askari kwanini wanajifunika uso, wasi wasi wa nini kama wako kazini kwao?Wakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Hata wew ni shetani unauwa watu wasio na hatia pale gaza 🙁🙁Tuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
Acha kuweka chumviUmemuona analia pale? Hushangai mpaka poti wanaomlinda wanamuunga mkono.
Peoplezzz
Acha uzwazwa wako wa kishetani.Lisu alijifanya mwamba sasa analia
USSR
Kumbe wew ni MA wapi umeona lissu analia,mtu yuko na furaha na anajiamini we unasema analia??Acha kuweka chumvi
USSR
Kuna leo na kesho mkuu😁Hawa askari kwanini wanajifunika uso, wasi wasi wa nini kama wako kazini kwao?