TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Inshallah
Ulimwengu ana tatizo la kutoa machozi kwa sababu uvutaji sigara wa kiwango kikubwa
True MkuuTuwe wakweli tunaongozwa na mashetani tupu
Navutiwa sana na Confidence ya Lissu.
No Reform no Election
Ni aibu kubwa sn mkuuTrue Mkuu
Makamanda original hawamwagi machoziWakuu,
Leo wakiwa mahakamani, Jenerali Ulimwengu na Godbless Lema wamemwaga machozi baada ya kumuona Lissu kwa mara ya kwanza kwenye inayomkabili
Soma pia: Yanayojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hilo kwa siku 14 hadi 02/06/2025 na mtuhumiwa amerejeshwa rumande
Mtu mzima tena mbabu kama Jenerali Ulimwengu kutoa machozi kwa ajili yabLissu ni matumizi mabaya ya machozi. Hao wote wawili ni wavuta bangi tu na hiyo bdiyo shida ya bangi za kuvuta uzeeniWakuu,